Sasahivi ndio nimeanza kukupata, ila Una kitu aiseeh. Mwanzoni nilikuwa nakuona kama dishi limeyumba na mambo yako ya platinum badgeππKaribu..
Hahaha, acha nongwa wewe,Sasahivi ndio nimeanza kukupata, ila Una kitu aiseeh. Mwanzoni nilikuwa nakuona kama dishi limeyumba na mambo yako ya platinum badgeππ
No turning back on Christ who gives us strength..Dejay sindikiza watoto wa YESU
View: https://youtu.be/dkPClcO4Whw?si=ixuCmwvr9Vg43gb0
Muda unaishia!
Mabaki wapo!
Walikuwepo wakati wa Sodoma na Gomora. Walikuwepo wakati wa Nuhu. Watakuwepo wakati wa kurudi kwa YESU!
Wateule wa Bwana wapo!
Watoto wa MUNGU wapo!
By the Power invested in me, nawafungua wote niliowafunga kwa ulimi wangu.
MAY YOU BE FREE IN CHRIST!
MAY YOU LIVE FOREVER IN CHRIST!
Mambo ni mengi muda ni mchache!
β
JESUS IS LORD!
MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
π₯π₯π₯β‘By the Power invested in me, nawafungua wote niliowafunga kwa ulimi wangu.
Formula ipo na ndio mfumo unaokuendesha everything is planned you are just existing to make it happen.kama hutaki sifa na kujionesha it's okay, kama wewe ni mtu wa sifa, kuwa kama wale jamaa wa katoro na bilions..
Maisha hayana formula Buda.
Sijasema sipendi mifumo...Inaonekana hupendi mifumo iliyopo na una rebellious spirit π tafuta hela, nunua ranch yako, uishi na watu wako na wanyama wako utakuwa na some control, time na freedom ya kuishi maisha unayotaka, or the hard way pambana ubadilishe mifumo usiyoitaka, matajiri wengi Marekani wanaishi kwenye ranch or private land kwa sababu hawapendi stupid rules
Okey kwanini kuna usiku+mchanaWhat do you mean everything is planned?
Sasa hizi ndo formula tunazoziongelea?Okey kwanini kuna usiku+mchana
Kwanini massaa 24=1siku
Kwanini siku 365=1mwaka
Kwanini maisha yako na stages mfano kuzaliwa+kukua+kuzeeka,
Kwanini kuna elimu+siasa+Dini+Uchumi+afya
N.k
The formula is already there just survive to live !!!