Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Dah, bora mzazi afe? Ukatili gani huu. Pambana na hali yako bro
 
Back
Top Bottom