Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hapo aliteleza tu naona na maumivu tu hayo, anatakiwa kufarijiwa tu lakini sio kumpa za uso kiasi hicho
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Swadakta mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo aliteleza tu naona na maumivu tu hayo, anatakiwa kufarijiwa tu lakini sio kumpa za uso kiasi hicho
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni ya kiroho zaidi sio ya watu wa saikolojia,ndo maana hawajakusaidia .2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Sasa Ile kauli ya mwili mmoja ndo utaniona hapa ....Jikaze Mkuu inauma mazoea yanaletaga shida ila jikaze kiume hukuzaliwa nae huyo kumbuka wanao ndiyo ndugu zako wa damu kabisa ana kwao huyo, Ile kauli ya mkae mwili mmoja ni scam!
Hapo hakuna ubora wa nani afe. You can't choose between the two. Kuna watu tunatamani awepo mama hata tumpigie simu tu tumsikie sauti yakeWatoto wakikua wataelewa , halafu kwao ni rahisi sana ku move on,
Kuna baadhi yetu wanawake zetu ni mihimili flani ya mipango yetu , akiondoka unakuta hata baadhi ya mambo yanafeli.
Imagine mke anajua hadi biashara zako na wadeni wako na hadi mambo sensitive halafu aondoke ndo kinachompata mtoa mada , ni hali ngumu sana .
Una umri gani wewe?Uko sahihi kunawanawake ni zaidi ya wazazi.
Wanawake WA Replace Mke aliyekufa wako Tele na ukasahau Kabisa ulikotoka. Labda kama haujichanganyi. Ila Wazazi hawana Replacement Mkuu. Umeongea Vibaya Kwa Sababu hata Sisi ni Wazazi tuna Watoto wetu wanatupenda kuliko Maelezo. Wako tayari kutoa Chochote Wazazi wao tuendelee kuishi.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Hizi ni weakness za mtu binafsi, kuna wanaume dhaifu hata akiachwa na mwanamke tu anaweza kujinyonga, sasa imagine kuachwa tu jitu linajinyonga.Mbona naona mnazungumzia mbadal tu wazazi hawana mbadala kweli ni sahihi, vipi mlopitia yote sio Kwa ubaya mtuambie kipi kiliwachukua muda kusahau na maumivu Kuisha
Inategemea na maisha uliyoishi, a typical men wazazi mnaachana ukishafikia 15 years at most 18. Niliachana na wazazi nilipokuwa na miaka 12 , toka hapo life cycle yangu iliweka mbali sana na wazazi,Hapo hakuna ubora wa nani afe. You can't choose between the two. Kuna watu tunatamani awepo mama hata tumpigie simu tu tumsikie sauti yake
Kwa baba muumba.
Hajielewi huyo.Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Mmh bhasi tupo tofauti sanaa...!!Inategemea na maisha uliyoishi, a typical men wazazi mnaachana ukishafikia 15 years at most 18. Niliachana na wazazi nilipokuwa na miaka 12 , toka hapo life cycle yangu iliweka mbali sana na wazazi,
Mke kwa upande wangu ni mtu ambaye unakaa naye kwa muda mrefu na ukaribu pengine kuliko mzazi.
Nilipoteza baba yangu mzazi na aliyenisomesha mwaka 2011 na niliweza ku move on kirahisi , lakini bado namkumbuka room mate na biz partner wangu aliyefariki 2006 , tulijuana kwa miaka mitano tu ila alinifundishhustling ndio zinanifanya niishi hadi leo.
Umarioo tu unakusumbua. Kwamba mzazi Hana thamani kiasi hicho? Pumbavu kabisa.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Yah inategemea na mzazi wako alikuwa na influence gani kwako! Kuzaa ni kazi rahisi sana na ninaamini watoto wangu hawana haja ya kunishukuru kwa lolote kwa ajili ya uwepo wao hapa duniani, in fact ni fantacy zangu ndio zimewaleta wao duniani , and had they had an option before ,pengine wasingekubali kuzaliwa kwa mtanange wa hapa duniani ulivyo.Mmh bhasi tupo tofauti sanaa...!!
Pole mwenzangu, ndiyo maana anatafuta faraja zaidi kwa watoto, mie sina hata mmoja.Kwa baba muumba.