Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hana mbadala ujue, imagine Mwanaume anaweza kuoa Wanawake 2 lakini haitawezekana mtu mmoja kuwa na Mama wawili at per sio?
[emoji419][emoji419][emoji419]Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Akili zikikurudia utaomba mods wafute huu Uzi.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Mwanaume anaoa je kama kuna watoto wadogo kawaacha?Ila hana mbadala ujue, imagine Mwanaume anaweza kuoa Wanawake 2 lakini haitawezekana mtu mmoja kuwa na Mama wawili at per sio?
Asante sana kwa hoja/ushauri huu.Mtoa mada anahitaji faraja lakn akisoma hz comment hakuna chochote anachopata.tupunguze kuwa judgemental jamani khaa
Tatizo wote mnazunguuka halafu mwishoni mnakubaliana na mtoa mada
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ila still huyo Mama yao atakwepo hai, muda wowote naweza kuwakutanisha Watoto na Mama yao, tofauti na akiwa Marehamu.Mwanaume anaoa je kama kuna watoto wadogo kawaacha?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Yani MAISHA YANABADILIKA ASILIMIA 100.Akili zikikurudia utaomba mods wafute huu Uzi.
Nakupa ushauri wa bure wasiliana na moderator waombe waedit hiyo heading ni ujinga umeandika.
Tuliofiwa na Mzazi tunajuwa maumivu yake ni ya kudumu, unaweza kufiwa na mke ukapata mwanamke mwingine na huenda akawa bora kuliko uliyempoteza lakini mzazi akiondoka ni forever na maisha yanabadirika rasmi tangu siku hiyo.
Kwahiyo wewe ulisahau hapo hapo? Au nisababu ya umri wako ulikuwa mdogo!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Tumetofautiana sasa, ndiyo maana wengine hutoa mpaka machozi wengine wakavu ukimpa hata gongo anakunywa bila shida yeyoteYup, sijawahi sumbuliwa na uwepo wa kifo...
Tumetofautiana sasa, ndiyo maana wengine hutoa mpaka machozi wengine wakavu ukimpa hata gongo anakunywa bila shida yeyote
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Pole sana Mungu akupe faraja ya ukweliPole sana ,nami nimepitia hicho kikombe cha kupoteza mke wangu kipenzi.
Ameniachia mtoto mmoja wa mwaka mmoja, hakika ni maumivu yasiyo na mipaka
Vipi wale wazazi wanaotoaga watoto wao kafala unasemaje hapoMwanamke ye anataman afe mumewe lakin sio mtoto au wazazi wake
We wa kiume unasema bora wafe wazazi kuliko mke!
WAzazi ndio kimbilio letu tukiona mambo hayaendi kuna wakat mwingine huyo mwanamke unaetaka asife anaweza kukuvuluga utataman mzazi wako awepo ili umwambiee unayopitia
Pole sana mkuu
Hapo aliteleza tu naona na maumivu tu hayo, anatakiwa kufarijiwa tu lakini sio kumpa za uso kiasi hichoUpo sahihi lakini tusifikie kiwango cha kuona uhai wa mtu fulani ulikuwa wa thamani, halafu uhai wa mtu mwingine si wa thamani kama mleta mada...
Mke au mume hufa, na hata kwenye kiapo cha wanandoa wa kikristo kuna maneno kama "hadi kifo kitapo tutenganisha"