Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

Pole sana Mungu akutie nguvu Kwa hayo unayopitia
Hakuna kufiwa kuliko rahis iwe mzazi,mke,ndugu hakuna unafuu Alienda ameenda tu na maumivu Yako palepale
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Hiyo ni ya kiroho zaidi sio ya watu wa saikolojia,ndo maana hawajakusaidia .
Biblia inasema,'mpaka kifo kiwatenganishe'. ...watu Huwa wanafikiri mwenzangu akifa ndo basi,kirahisi tu,hapana lazima utengwe nae rohoni pia ...
.Kwa unachopitia means spiritual Bado Iko shida ...ukipata mtumishi anae elewa atakusaidia utakaa sawa
 
Mke mme mtoto utapata mwingine, mzazi akienda ndo kaenda
 
Jikaze Mkuu inauma mazoea yanaletaga shida ila jikaze kiume hukuzaliwa nae huyo kumbuka wanao ndiyo ndugu zako wa damu kabisa ana kwao huyo, Ile kauli ya mkae mwili mmoja ni scam!
Sasa Ile kauli ya mwili mmoja ndo utaniona hapa ....
Sio scam...
Shida ni kuwa wengi hamuelewi
 
Mbona naona mnazungumzia mbadal tu wazazi hawana mbadala kweli ni sahihi, vipi mlopitia yote sio Kwa ubaya mtuambie kipi kiliwachukua muda kusahau na maumivu Kuisha
 
Watoto wakikua wataelewa , halafu kwao ni rahisi sana ku move on,
Kuna baadhi yetu wanawake zetu ni mihimili flani ya mipango yetu , akiondoka unakuta hata baadhi ya mambo yanafeli.
Imagine mke anajua hadi biashara zako na wadeni wako na hadi mambo sensitive halafu aondoke ndo kinachompata mtoa mada , ni hali ngumu sana .
Hapo hakuna ubora wa nani afe. You can't choose between the two. Kuna watu tunatamani awepo mama hata tumpigie simu tu tumsikie sauti yake
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Wanawake WA Replace Mke aliyekufa wako Tele na ukasahau Kabisa ulikotoka. Labda kama haujichanganyi. Ila Wazazi hawana Replacement Mkuu. Umeongea Vibaya Kwa Sababu hata Sisi ni Wazazi tuna Watoto wetu wanatupenda kuliko Maelezo. Wako tayari kutoa Chochote Wazazi wao tuendelee kuishi.
 
Mbona naona mnazungumzia mbadal tu wazazi hawana mbadala kweli ni sahihi, vipi mlopitia yote sio Kwa ubaya mtuambie kipi kiliwachukua muda kusahau na maumivu Kuisha
Hizi ni weakness za mtu binafsi, kuna wanaume dhaifu hata akiachwa na mwanamke tu anaweza kujinyonga, sasa imagine kuachwa tu jitu linajinyonga.

Halafu kuna vichaa wengine kama yule wa Mwanza hawa wanauwa wanawake kikatili kabisa, kwahiyo hizi ni illusion binafsi za mtu.

Halafu wapo wanawake wengi tu wanahitaji life partner wa kuishi nao, ni jambo la kutulia tu atapata mwingine.
 
Hapo hakuna ubora wa nani afe. You can't choose between the two. Kuna watu tunatamani awepo mama hata tumpigie simu tu tumsikie sauti yake
Inategemea na maisha uliyoishi, a typical men wazazi mnaachana ukishafikia 15 years at most 18. Niliachana na wazazi nilipokuwa na miaka 12 , toka hapo life cycle yangu iliweka mbali sana na wazazi,
Mke kwa upande wangu ni mtu ambaye nimekaa naye kwa muda mrefu na ukaribu pengine kuliko mzazi.
Nilipoteza baba yangu mzazi na aliyenisomesha mwaka 2011 na niliweza ku move on kirahisi , lakini bado namkumbuka room mate na biz partner wangu aliyefariki 2006 , tulijuana kwa miaka mitano tu ila alinifundishhustling ndio zinanifanya niishi hadi leo.
 
Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.

Pole kwa msiba
Hajielewi huyo.
 
Inategemea na maisha uliyoishi, a typical men wazazi mnaachana ukishafikia 15 years at most 18. Niliachana na wazazi nilipokuwa na miaka 12 , toka hapo life cycle yangu iliweka mbali sana na wazazi,
Mke kwa upande wangu ni mtu ambaye unakaa naye kwa muda mrefu na ukaribu pengine kuliko mzazi.
Nilipoteza baba yangu mzazi na aliyenisomesha mwaka 2011 na niliweza ku move on kirahisi , lakini bado namkumbuka room mate na biz partner wangu aliyefariki 2006 , tulijuana kwa miaka mitano tu ila alinifundishhustling ndio zinanifanya niishi hadi leo.
Mmh bhasi tupo tofauti sanaa...!!
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni, nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Umarioo tu unakusumbua. Kwamba mzazi Hana thamani kiasi hicho? Pumbavu kabisa.
 
Mmh bhasi tupo tofauti sanaa...!!
Yah inategemea na mzazi wako alikuwa na influence gani kwako! Kuzaa ni kazi rahisi sana na ninaamini watoto wangu hawana haja ya kunishukuru kwa lolote kwa ajili ya uwepo wao hapa duniani, in fact ni fantacy zangu ndio zimewaleta wao duniani , and had they had an option before ,pengine wasingekubali kuzaliwa kwa mtanange wa hapa duniani ulivyo.
 
Back
Top Bottom