National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Ujue mke unaweza oa mwingine, ila mzazi akienda huna replacementPole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue mke unaweza oa mwingine, ila mzazi akienda huna replacementPole sana
Ni kweliUjue mke unaweza oa mwingine, ila mzazi akienda huna replacement
Amka mkuu kumekucha.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Umenea vyema mkuu.Mkuu pole sana. Ila inaonekana we huna huruma na ni mbinafsi sana. Yan unahisi kufiwa na mke kunauma kuliko kufiwa na mzazi just imagine watoto wanajisikiaje kumpoteza mama yao. Ubinafsi ni pale unahisi wewe ndio mwenye maumivu wao hawana maumivu that is not fair. Kuwa na fikra pengine ndio inapelekea haya maumivu kuchukua muda sana kupona.
Hebu kuwa strong kwa ajili ya familia yao kwa sababu hata wao wamepoteza mama.
Pole sana! Ujaliwe ujasiri wa kukabiliana na hali halisi.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Mimi yote yaliishanitokea. Nilifiwa na baba; nikafiwa na mama; nikafiwa na mtoto; na mwisho nikafiwa na mke. Hapo katikati nilifiwa na kaka watano na dada watatu. Kila kimoja wa vifo hivyo kina uzito wake. Huwezi kulinganisha kwamba afadhali hiki kuliko kile.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Yaani mimi nina hisi huyu ndugu yetu ana msongo wa mawazo (matatizo ya kiakili).Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Pole sana kwa misiba mizito!Mimi yote yaliishanitokea. Nilifiwa na baba; nikafiwa na mama; nikafiwa na mtoto; na mwisho nikafiwa na mke. Hapo katikati nilifiwa na kaka watano na dada watatu. Kila kimoja wa vifo hivyo kina uzito wake. Huwezi kulinganisha kwamba afadhali hiki kuliko kile.
Sema basi lkn nilitaka nikwambie hivi;2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Hata siku moja mke hawezi ziba pengo la mzaziNi kweli
Mzazi una historia naye kubwa na ndefu kuliko mke au mume.
Mke na mume mkishindwana mnaachana kila mtu na zake ila kwa wazazi haiwezi kutokea
Ukiwa umepata ugonjwa mkubwa wewe ni wa kitandani muda wote, umefulia huwezi kuhudumia mke na watotoumekufuru ile mbaya
unafananisha mzazi na mambo ya kijinga aisee
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
kabisa kabisa kabisaUkiwa unepata ugonjwa mkubwa wewe ni wa kitandani muda wote umefulia huwezi kuhudumia mke na watoto
Mke anaweza kukukimbia ila kuna mtu anaitwa mama huyo atashikamana na wewe na kukuhudumia, kukutunza na kukutia moyo mpaka ufe au upone na kurudia hali yako