Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Usifananishe Wazazi na vitu vyenye Mbadala..Usifananishe Mzazi na ujinga..hakuna kama Mzazi🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua unachopitia lakini msemo na mtazamo wako sio sahihi..umeonyesha ubinfsi zaidi.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Sawa atapata mke mwingine, je hao watoto watatu wtapata mbadala wa mama yao mzazi? Tujaribu kufikiria pande zote, imagine watoto wadogo ambao bado wanahitaji malezi ya mama yao halafu wamempotezaPole kwa majonzi Kiongozi.
Mke/Mume mkitofautiana mnaweza kuachana na ukapata mwingine.
Viipi unaweza kupata mbadala wa Mama/Baba Mzazi akifariki?
Kuna wenzio tunatembea na maumivu ya kuwapoteza wote kwa pamoja au mmoja wao na hadi sasa tumekosa mbadala wao 😭
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Mzee anakuwa kama benki yako ya siri zako anakufichia siri zako. Pia mzee ni mshauri wako mkuu akiondoka mzee nusu ya moyo nao umeondoka.Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Mchumba wangu alipata miscarriage, aliumia sana. Ajabu akaniambia ni bora angenipoteza mimi! I was perplexed! Since then I learned mke siyo ndugu yako. They're too selfish.
Pole sana Mungu akusaidie uweze kumove on umesema una watoto hamisha nguvu zako kwa watoto ni ngumu lakini itakusaidia2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Una umri gani Mkuu?Mimi yote yaliishanitokea. Nilifiwa na baba; nikafiwa na mama; nikafiwa na mtoto; na mwisho nikafiwa na mke. Hapo katikati nilifiwa na kaka watano na dada watatu. Kila kimoja wa vifo hivyo kina uzito wake. Huwezi kulinganisha kwamba afadhali hiki kuliko kile.
Hapo mama yao amefariki hakuna la kufanyaSawa atapata mke mwingine, je hao watoto watatu wtapata mbadala wa mama yao mzazi? Tujaribu kufikiria pande zote, imagine watoto wadogo ambao bado wanahitaji malezi ya mama yao halafu wamempoteza
Niseme tu kila mmoja kwenye maisha yetu ana nafasi yake, wazazi wana nafasi, wenza wana nafasi na hata ndugu wana nafasi lakini hakuna jambo gumu kama mzazi kufariki ingali watoto bado wadogo na hawajaweza kujitegemea
Ninamshangaa sana mleta mada.Pole sana mkuu. Asili ya mwanamke ni ubinafsi
You have nailed ,yaani Leo hii nilinganishe kifo cha kufiwa Mke au mume kiwe bora kuliko wazazi wangu,mtoto wangu au kaka ma Dada zangu !?Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Wewe ni mwanamke ila umeongea ukweli. Umewasagia kunguni wanawake wenzio... hakika kwa hali hii Team Kataa Ndoa wanakwenda kushika. Mpaka dk hii ubao unasoma Team Kataa Ndoa 4 na Team Kubali Ndoa hawajafanikiwa kupata chochote.[emoji38]Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.
Pole kwa msiba
Ulichelewa sana kujua. Na huyo hakupendi anataka hela zako, siyo ajabu hiyo mimba haikuwa yako. Vitu vizuri vyote wanataka kuvibinafsisha kuwa vyao. Dawa ni kuishi nao kikatili tu hakuna namna.Mchumba wangu alipata miscarriage, aliumia sana. Ajabu akaniambia ni bora angenipoteza mimi! I was perplexed! Since then I learned mke siyo ndugu yako. They're too selfish.
Wewe ni mwanaume legelege,umelelewa na soap opera za kifilipino na telenovelas2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Malaya ni wewe hapoWewe utakuwa ni malaya,hakuna kitu spendi kama watoto wangu kulelewa na mama mwingine.
Pole sana mkuu.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Swali zuriSema basi lkn nilitaka nikwambie hivi;
Hivi km mkeo angekuwepo ukamwambia afanye uchaguzi wa kumuua mtu mmoja kati ya mzazi wake ama wewe mmewe unadhani angelimchagua nani?