Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.

Pole kwa msiba
Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa bila upendo: wanaume ni tofauti wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mapenzi ya dhati. Ni kwa sababu hiyo upo sahihi kabisa kuwa wanawake wapo tayari kumpoteza mumee kuliko mzazi : baadhi yao wanenda mbali hadi kuharakisha au kufanikisha vifo vya wanaume wao.
Nakubaliana na mtoa mada kwa mwanaume mke anauma sana akitangulia kufa pengine kuliko mzazi , lakini pia ni sahihi kabisa kwa mwanamke kutoumia kabisa na kifo cha mumewe.
 
Sema basi lkn nilitaka nikwambie hivi;
Hivi km mkeo angekuwepo ukamwambia afanye uchaguzi wa kumuua mtu mmoja kati ya mzazi wake ama wewe mmewe unadhani angelimchagua nani?
Wake zetu hawana uchungu na wanaume zao hilo linajulikana , tena wengine hadi wanafanikisha vifo vya waume zao kwa namna moja au nyingine.
Wanaume wanapenda kwa dhati ,wanawake wanapenda kwa nafasi . Ndo maana majumba yetu yanajaa ndugu wa mke tu.
 
Mkuu mkuu usikufuru kama hauoni umuhimu wa mzazi potezea na sio kuanza kumuombea kifo kisa mtu uliyekutana nae ukubwani. Mzazi ana umuhimu wake na mke,mume ana umuhimu wake pia. Jambo usilolijua au kulifahamu asilimia kubwa ya wanawake wapo tayari kumpoteza Mume na sio mtoto au mzazi wazazi wake.

Pole kwa msiba
Nafikiri ukishaoa/olewa na kupata watoto na muda umeshapita basi kifo cha mke/mme kinakuwa kizito kuliko cha mzazi wako. Uzoefu mwingi unaonesha hivyo.
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Pole sana.
 
Pole kwa msiba ila chondechonde usilinganishe mzaz na upuuzi!! Hao wanapepo yetu ndo maana waliitwa ni miungu ya duniani.. hata vitabu vya dinu hasa biblia kwnye amri 10 imetuasa tuwaheshimu baba na mama ili tupate kheri nyingi duniani... kumbuka hajatajwa mke!!! Huyo mke tumeambiwa tuishi nae kwa akili!! Kheri kafariki unajua kbsa muda wake wa kuishi dunianu umeisha je angetoroshwa au ukachapiwa au laa akadai taraka na mkaachana then uone yupo na njemba ingine ??? Just grow up man!!
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Kwa ambao hawajaoa hawataweza kukuelewa watakudhihaki tu hapa ila mimi nimekuelewa ni jangwani unapita kaka soon utafika caanan.. mke/mume akifariki ni mzigo mzito maumivu yake si mchezo kabisa.
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Mkuu km kufiwa na mzaz ufiwe ww usitujumuishe na sisi
 
Wew utakuwa head Imeyumba, kufiwa na Wazazi hasa mama Ni mtihani mwingine kabisa,.
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Sio kufiwa na mume au mke Tu, iweke hivi, "Kufiwa na mume/mke mnayependana Sana"
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Ona hii kondoo
 
Amka mkuu kumekucha.

Yaani ktk ulimwengu huu huu unadiriki kusema ni kheri ufiwe na....kuliko kufiwa....?
Huu mlinganyo wako kwa upande wangu siyo sahili.
Kifo kisikie mbaaaali na siyo kufiwa na yeyote wa karibu nawe iwe ni ukaribu wa damu ama uhusiano wa kirafiki (mahusiano).
Pengo linalo achwa na mwanadamu kutokana na umauti halizibiki.
Mkuu, you have nailed it all...
Hata hivyo mtoa mada naye pia siwezi kumuhukumu moja kwa moja kwa sababu naona ameeleza ukweli wa nafsi yake kulingana na hali anayopitia.
Kifupi namwona kama ameelezea hali hiyo kwa kuzingatia hisia kuliko uhalisia au kinyume chake.
Na-warai wengine kwamba tusimlaumu wala kumuhukumu.
 
Kwa hivyo mkuu? Ikiwa kuna SIMBA mbele yako na una nafasi ya kumuokoa mtu mmoja kati ya MAMA yako mzazi na MKE wako wa ndoa ina maana wewe utamuokoa MKE wako Kwa maana MAMA yako aliwe na simba MKE anaweza akakuacha na kuolewa na mtu mwingine ukifilisika mama yako je? Any way.. sijasema usimpende mke wako tafadhali ila nafasi ya wazazi ni ipo mbali sana na mke/mme nieleweke

WAKE zetu wanawapenda watoto zetu kuliko waume zao ilo hakuna anayepinga sienezi chuki ila nafasi ya wazazi ni sio ya kuifananisha na chochote cha zaidi wazazi wakuzae alaf wakulee wao wenyewe
 
2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.

Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!

Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.

Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Shida ni kuwa huja kubali kuwa kaenda... Kwa muda uliokaa.. Ungekubali ungeshamove on.... Nakushauri kubali yeye kawahi ila sote tuko bado njian... Lea watoto ukiwaaminisha kuwa kila mwanadamu atafikwa na umauti... Na wao wa kubali ili baadae wasije Pata na so oni nk.
 
Back
Top Bottom