YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
☺️🤗🤗🤗🤗🤗Pole Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☺️🤗🤗🤗🤗🤗Pole Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
Umeandika vema mno, mtoa mada asome andiko lako mara mbili then ajitafakari.Mkuu pole sana. Ila inaonekana we huna huruma na ni mbinafsi sana. Yan unahisi kufiwa na mke kunauma kuliko kufiwa na mzazi just imagine watoto wanajisikiaje kumpoteza mama yao. Ubinafsi ni pale unahisi wewe ndio mwenye maumivu wao hawana maumivu that is not fair. Kuwa na fikra pengine ndio inapelekea haya maumivu kuchukua muda sana kupona.
Hebu kuwa strong kwa ajili ya familia yao kwa sababu hata wao wamepoteza mama.
Halafu hii kauli ya mke kumkimbia Mme huwa siipendi kuisikia masikioni mwangu, mbona wanawake wengi tu wanatunza waume zao? Na wapo wanaume wengi wanakimbia wake zao? Tena wengine wanakimbia hadi watoto ? Ndugu wa Mme sijui huwa na roho gani nikama huchukua roho ya shetaniUkiwa umepata ugonjwa mkubwa wewe ni wa kitandani muda wote, umefulia huwezi kuhudumia mke na watoto
Mke anaweza kukukimbia ila kuna mtu anaitwa mama huyo atashikamana na wewe na kukuhudumia, kukutunza na kukutia moyo mpaka ufe au upone na kurudia hali yako
Pole sana2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Wanamsakama tu mtu unayelala naye una amka naye akikutoka ni ngumu sana kukabili kuna ndugu yangu mwaka 7 huu hajaoa na nyumba haikuwa nyumba haeleweki kabisa, lakini alifiwa na Baba yake akaomboleza maisha yakaendela baada ya miaka 6 mkewe mmm mpaka leo anashauriwa aoe lakini bado anwewesekaga tu, huyo nikumtia moyo sio kumtonesha.Inategemea mahusiano yenu mlivyokuwa mnaishi, kwako inaonekana mlikuwa vizuri, kuna wengine mke/mme akiondoka ni furaha tele, unaweza usiamini lakini imetokea sana tuu
Ni mpumbavu, ila basi tu kwakuwa kafiwa tunamkaushia.umekufuru ile mbaya
unafananisha mzazi na mambo ya kijinga aisee
Nikweli mie yupo ni mwaka wa 7 sasa watoto 2 wanishi kwa mashangazi yaani yupo yupo tyPole sana Mkuu, kuna Member mwenzetu humu alifiwa(ga) na mkewe mwaka 2015, toka hapo akapoteza ramani ya maisha kabisa! Mpaka leo hajarecover..
HawatakuelewaPole sana mkuu.
Baba yangu alifariki nikiwa Nina miezi kadhaa ..mama yangu hajawahi kuolewa Tena nikawa mtoto wa mwisho kwake.
Huwa tu ananiambia, "Mwanangu heri nife Mimi ila sio mumeo".
Aiseee basi Huwa naogopa sana.
Ukiacha hilo niliwahi kushuhudia mama yangu mdogo akiwekwa ICU siku nne baada ya mumewe kufariki.
Sio mzima wewe, utakuwa na matatizo na mwanamke wakoWake zetu hawana uchungu na wanaume zao hilo linajulikana , tena wengine hadi wanafanikisha vifo vya waume zao kwa namna moja au nyingine.
Wanaume wanapenda kwa dhati ,wanawake wanapenda kwa nafasi . Ndo maana majumba yetu yanajaa ndugu wa mke tu.
Tena aliyekatwa mkiaOna hii ng'ombe
Wewe umefiwa na nani wa karibu ukakubali mapema ?Huwa namshangaa sana mtu asiyekubali toka moyoni kwake kwamba kuna kifo na ni hatma ya kila mmoja wetu, na endapo kifo kitamchukua mtu wako wa karibu haina maana ndio mwisho wa maisha...
Mke unaweza kumreplace kama ulivyosema lakini si kwa wepesi, huyu mkuu nimemwelewa, mnaweza kuwa mmezaliwa wengi mkaliwazana, ila kwa mwenza unabaki mwenyewe, pole yake tu huyo ndugu, Mungu ampe faraja yake maana ya binadamu nikama mawe haya wanayo mdondoshea.Pole sana kwa kufiwa na mke ila umekosea sana kuwalinganisha wazazi na mke. Kumbuka mke waweza kumreplace lakini mzazi ni mmoja tu (Baba/Mama) ukimpoteza hutakuwa na mbadala.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Una miaka mingapi ya ndoa ?Sio mzima wewe, utakuwa na matatizo na mwanamke wako
Shida si kukubali, inategemea bna personal attachment na huyo aliyeondoka., Mchango wake kwako watoto na kadhalika, kuna wenza uwepo wao nibzaidi ya nyota kwako, mnafanya mambo mengi ya maendeleo naye mnalala naye na pengine ni msiri wako wa ndani, huyu akiondoka duniani si rahisi kukubali .Shida ni kuwa huja kubali kuwa kaenda... Kwa muda uliokaa.. Ungekubali ungeshamove on.... Nakushauri kubali yeye kawahi ila sote tuko bado njian... Lea watoto ukiwaaminisha kuwa kila mwanadamu atafikwa na umauti... Na wao wa kubali ili baadae wasije Pata na so oni nk.
Hata mi nimemuelewa sana na ni katika vitu vinasononesha sana .Kwa ambao hawajaoa hawataweza kukuelewa watakudhihaki tu hapa ila mimi nimekuelewa ni jangwani unapita kaka soon utafika caanan.. mke/mume akifariki ni mzigo mzito maumivu yake si mchezo kabisa.
You are right......Mke ni mali sana ila usiombee kufiwa na wazazi pia.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Pole sana mkuu ila kufiwa na Mke ni sawa tu kufiwa na wazazi....inauma mno😡2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.
Pole sana ndugu, Mungu aendelee kukufariji ambaye hajawahi kupitia hali hii anaweza asikuelewe.2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito,nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake.
Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3!
Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo.
Huu ni mwaka wa 4 lakini bado sijaweza kupata ahueni nimeenda kwa psychologist lakini wapi.