Ni kifo cha Mhusika gani wa kwenye Movie au Series kilikuumiza sana?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun

images (56).jpg

Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na Choi Seung-hee karibu na mnara wa taa (lighthouse) ili kumvisha pete.

images (55).jpg

Snipers (dondora) asiyeonekana alimpiga risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari, na gari lake likasimama karibu na mnara huo wa taa. Alifariki taratibu akiwa ndani ya gari huku akimwangalia Seung-hee kwa mbali, bila Seung-hee kutambua kilichokuwa kikitokea.

Ile scene was traumatizing!
 
Dunia nzima kwenye ulimwengu wa series hakuna kifo kinachosikitisha kama kifo cha Glenn Rhee wa The Walking Dead.
1791530056474.png

Kinachofuata ni The red wedding kutoka Game of Thrones

Update.
Nimevamia uzi kumbe ni uzi wa wanaangalia series za mabeki tatu na wamama, K-drama
 
Professor Snape na Professor Dumbledore kwenye Harry Potter.

Avada Kedavra!

Harry Potter ilijua kutusisimua sana utotoni.
 
Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun

Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na Choi Seung-hee karibu na mnara wa taa (lighthouse) ili kumvisha pete.

Snipers (dondora) asiyeonekana alimpiga risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari, na gari lake likasimama karibu na mnara huo wa taa. Alifariki taratibu akiwa ndani ya gari huku akimwangalia Seung-hee kwa mbali, bila Seung-hee kutambua kilichokuwa kikitokea.

Ile scene was traumatizing!
Hii sehemu hata mimi ilinikera sana wakati naiangalia hii tamthiliya bora kabisa ya Kikorea.
 
Kwa upande wangu kuna muvi ya The Hard Way. Niliiangalia mwaka 1992. Kuna Mmarekani mweusi (Mniga) kwenye hiyo muvi ambaye alikuwa pia kwenye kikosi maalum cha makomandoo, alililiwa na mamba wakati yeye na wenzake wanavuka mto kwenda kuishambulia kambi ya maadui.

Nilimaindi kwa nini mwamba alifariki kabla ya kukamilisha mission.
 
Kwa upande wangu kuna muvi ya No retreat no surrender. Niliiangalia mwaka 1992. Kuna Mmarekani mweusi (Mniga) kwenye hiyo muvi ambaye alikuwa pia kwenye kikosi maalum cha makomandoo, alililiwa na mamba wakati yeye na wenzake wanavuka mto kwenda kuishambulia kambi ya maadui.

Nilimaindi kwa nini mwamba alifariki kabla ya kukamilisha mission.
Hiyo inaitwa "Hard way"
 
Kifo Cha Mama Dani wa anko mafiksi pia kili nisikitisha sana
 
Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun

Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na Choi Seung-hee karibu na mnara wa taa (lighthouse) ili kumvisha pete.

Snipers (dondora) asiyeonekana alimpiga risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari, na gari lake likasimama karibu na mnara huo wa taa. Alifariki taratibu akiwa ndani ya gari huku akimwangalia Seung-hee kwa mbali, bila Seung-hee kutambua kilichokuwa kikitokea.

Ile scene was traumatizing!
ACHILLES (BRAD PITT)
Movie - Troy
 
Attachments

  • troy.jpg
    troy.jpg
    28.9 KB · Views: 11
Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun

Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na Choi Seung-hee karibu na mnara wa taa (lighthouse) ili kumvisha pete.

Snipers (dondora) asiyeonekana alimpiga risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari, na gari lake likasimama karibu na mnara huo wa taa. Alifariki taratibu akiwa ndani ya gari huku akimwangalia Seung-hee kwa mbali, bila Seung-hee kutambua kilichokuwa kikitokea.

Ile scene was traumatizing!
kifo cha Nairobi kwenye Money heist
 
Back
Top Bottom