Aling'atwa mguuni na mamba na alikufa kwa kupigwa risasi na maadui baada ya kujikongoja na kujiposition ili kuwadhibiti maadai waliokuwa wamewakaribia.Kwa upande wangu kuna muvi ya No The Hard Way. Niliiangalia mwaka 1992. Kuna Mmarekani mweusi (Mniga) kwenye hiyo muvi ambaye alikuwa pia kwenye kikosi maalum cha makomandoo, alililiwa na mamba wakati yeye na wenzake wanavuka mto kwenda kuishambulia kambi ya maadui.
Nilimaindi kwa nini mwamba alifariki kabla ya kukamilisha mission.
Siku gani inarudiwa ITV?ITV wanairudia mara kwa mara, yani hata kipindi hiki inarudiwa episode moja kwa wiki,
sina kumbukumbu za uhakika, lakini nadhani ni weekend saa 1 usiku kama sio saa 4 usiku, wameshafika mbali karibu na mwishoSiku gani inarudiwa ITV?
Nilishaionaga ingawa ni muda mrefu umepita, sio mbaya kuirudia hata hapo itakapokuwa imefikia.sina kumbukumbu za uhakika, lakini nadhani ni weekend saa 1 usiku kama sio saa 4 usiku, wameshafika mbali karibu na mwisho
naam, hapo itv wanzirudiaga sana hizi, sema naona soko la hizi local TV zetu kama zimeyumba sana, yani ITV wapo radhi warudie Jumong, Iris ila sio kuleta mpya za hivi karibuniNilishaionaga ingawa ni muda mrefu umepita, sio mbaya kuirudia hata hapo itakapokuwa imefikia.
Sahihi kabisa. Mwamba alipambana hadi mwisho.Aling'atwa mguuni na mamba na alikufa kwa kupigwa risasi na maadui baada ya kujikongoja na kujiposition ili kuwadhibiti maadai waliokuwa wamewakaribia.
Namba mbili inasimama kwangu kama namba moja series, na si Homeland security ni Homeland na aliyenyongwa ni Brody si Bold na Girlfriend wake aliyesikitika sana ni Carrie siyo Ketie1. Squid Game kuna vifo vya watu vinahuzunisha saana mle ndani.
2. Homeland Security, Series bora kabisa ya kijasusi, Bold ananyongwa kule Iran, Kettie anahuzunika sana.
Ha ha ha ha upo sahihi mkuu, mimi niliitazama muda kidogo kwahiyo majina yamenitoka. Aiseee ile scene ya Brody kunyongwa hasa Carrie alivyokuwa akimuita Brodyyy Brodyyyyy huku jamaa nae alikuwa akipepesa macho kuangalia kama Carrie amefika kushuhudia kunyonywa kwake ni jambo lililokuwa linahuzunisha sana.Namba mbili inasimama kwangu kama namba moja series, na si Homeland security ni Homeland na aliyenyongwa ni Brody si Bold na Girlfriend wake aliyesikitika sana ni Carrie siyo Ketie
Hawa Wamarekani 'wajinga', series inakubeba kihisia mpaka unahisi umeshakuwa spy au mshirikiHa ha ha ha upo sahihi mkuu, mimi niliitazama muda kidogo kwahiyo majina yamenitoka. Aiseee ile scene ya Brody kunyongwa hasa Carrie alivyokuwa akimuita Brodyyy Brodyyyyy huku jamaa nae alikuwa akipepesa macho kuangalia kama Carrie amefika kushuhudia kunyonywa kwake ni jambo lililokuwa linahuzunisha sana.
Bora cha spartacus wa season... yule spartacus wa kwenye ile single movie niliumia zaidiKifo halisi kwa muigizaji wa Spartacus main actor Andy Whitfield
Mimi sister wangu alikuwa Hana raha siku ile , mtaani wakati tunacheki ukimya ulitawalaLeft General Mugol kwenye Jumong 🫠🫠🫠
Nilisikitika sana pale Right general Oyi alivyomkuta ndio anakufa ..walikua makamanda wa vita 🫠🫠Mimi sister wangu alikuwa Hana raha siku ile , mtaani wakati tunacheki ukimya ulitawala
#MugolIsDead
Hii bila shaka itakuwa ni comedy 😃Kuna hii movie pia