manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 174
- 211
Left general mongol kifo chake kilituuma ilikuwa inaruswa itv asubuhi yake darasani mimi na marafiki zangu ilikuwa siku ya maomborezo tuuu
Na Tokyokifo cha Nairobi kwenye Money heist
Yeah ilikua huzun sanaNa Tokyo
Toa Neno la mwisho kabla hujanyongwa. Akasema "My mother killed me" kisha akasogelea kitanzi akanyongwa hadi kufa huku mama yake mzazi akishuhudia kifo cha mwanae kupitia TV.Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun
Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na Choi Seung-hee karibu na mnara wa taa (lighthouse) ili kumvisha pete.
Snipers (dondora) asiyeonekana alimpiga risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari, na gari lake likasimama karibu na mnara huo wa taa. Alifariki taratibu akiwa ndani ya gari huku akimwangalia Seung-hee kwa mbali, bila Seung-hee kutambua kilichokuwa kikitokea.
Ile scene was traumatizing!