Ni kigezo kipi kimetumika kurudisha kodi ya kichwa wakati tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa?

Kodi ya kichwa/maendeleo ilikuwepo mpaka 2000 hapo,lipumba akapiga kelele zikatolewa..Kodi ya tin siyo kichwa,na imesemwa wazi kwa wenye kipato,huwezi kuwa na kipato bila kuwa na shughuli
TIN inaposhurutishwa kwa kila aliye na zaidi ya miaka 18 ili aje kukadiriwa kodi kulingana na miamala yake halafu alipe kupotia simu yake hiyo ina maana ni kodi ya kichwa, na kila mmoja analazimika kuilipa, kodi inapotozwa kwa criteria vague kama hiyo ni kodi ya kichwa.., maana haina specific critera mfano useme ni mfanyabiashara analipa income tax, au useme ni dereve analipa driving license and so forth, yaani ni totally inclusive na indiscriminate, kigezo ni umri tu...!!! Typical kodi ya kichwa!! Kuhusu shughuli hiyo ni obvious, kwani waliokuwa wanadaiwa kodi ya kichwa hawakuwa na shughuli, waliishije bila shughuli?!
 
Kila mtu anaestahili akiwa nayo workforce itajulikana na tija yao.
Sawa, ila ndio kodi ya kichwa ilishahamishiwa kwenye bidhaa, na raia hata wasio na TIN tayari wanalipa, hakuna sababu ya kuirudisha, wanatumia kigezo kipi kuirudisha? Ulinzi uimarishww mirembe ili kucontrol watoro kama huyo jamaa
 
Watanzania hatuna kauli haya kipi kifanyike au ni kulalama tu
Tuache kukopa kama mataahira waliokatwa kichwa, huo ndio ushauri, tumekuwa watumwa wa riba!! Tuboreshe mazingira ya ndani ya uzalishaji kwa kuzuia bidhaa za nje zinazoweza kuzalishwa nchini, au atleast zipigwe kodi kubwa, mfano furniture kutoka China zinaua ajira za waTz.
 
Mama anaupiga mwingi,haunga mkono Kodi ya kichwa, lakini pia Mimi bado nazidi kumshauri mama pamoja na waziri husika aje na kwa wafugaji wa mbuzi,, ngombe na kondoo, walipe Kodi kwa kila mfugo , hii itasaidia kuinua Pato la Taifa, pia itasaidia kutunza mazingira yetu kwani wafugaji wanaharibu sana mazingira lakini pia itawafanya wafugaji kufuga kisasa na kwa Tija kwani wengi watapunguza mifugo yao lakini pia wataweza kuihudumia kwa ufanisi
 
Waje na kodi ya makalio pia..😠
 
Mpaka miaka 10 ipite utakua ushakua kichaa tayari,kubali Kuna uongozi mwingine,maisha yasonge,kuwa negative kutakuletea matatizo ya moyo
 
Mkiambiwa nchi imerudi kwa wakolon muwe mnaelewa,

Basi tu ni vichwa vigumu waTz, kwa huyu rais anayeforce kupendwa na mataifa ya hao watu weupe, hapa lazma ukolon urudi tu, na kurudi kwake ni kama ivyo yanaibuka mambo yakipuuzi puuzi ilimladi kuwanyonywa na kuwanufaisha wahuni wa kizungu na kiarabu.

Iko wazi huyo kibaraka wenu sa[emoji817] akipewa challenge ya kumchagua muwekezaji kati ya ngozi nyeupe na nyeusi, iko wazi atamtaka huyo beberu ngozi nyeupe, maana kwa imani yake hao anawaona ni wakombozi, behind the game watakaoumia ni wananchi na kizazi kijacho .
 
Dah uzi wako wa kiutu uzima, nimeupenda kwa bei ya bure kabisa, kongole
 
Tz huwa wanapiga kelele ukifika usiku ponji kama kawa, perecheche nyingi wabongo.Ila tukumbuke mwelekeo wa dunia yote ni maisha kuwa magumu mpaka umsahau au umtegemee sana Mungu.Kuna kitu kinaenda kutokea soon about 10 years to come.
 
Huyo Savimbi aliwahi kumiliki akili lini?

Ila hupaswi kulalamika Magufuli alitaka bunge la chama kimoja ili kupitisha uharamia wake, hii ndio legacy yake sasa.
Angekuwepo huu ujinga usingekuwepo, lakini usisahau siku zote ccm walipotaka kupitisha jambo lao lilipita kwa kishindo sababu wako wengi.
 
Mpaka miaka 10 ipite utakua ushakua kichaa tayari,kubali Kuna uongozi mwingine,maisha yasonge,kuwa negative kutakuletea matatizo ya moyo
Wewe usitafute huruma, jibu hoja, hayo uongozi ni irrelevant kwa hoja husika, kwamba kodi ya kichwa ilikwisha hamishiwa kwenye bidhaa, kigezo kipi kimetumika kuirudisha?
 
Madeni yashakuwa mengi lazma kuweko vyanzo vyakupata ela ya kulipa
Shida kubwa ni madeni yaliyotokananna mikopo hewa, mfano mikopo ya vitendanishi vya covid 19 au zile chanjo hewa za shs. Trillion 2 , tunapigwa kodi ya kichwa ili kulipa mikopo hewa, hiyo inaumiza sana
 
Hili tayari ni tatizo, maana kuweka tozo kwa watumiaji wa huduma hiyo ni sawa na kodi ya kichwa..........huduma ileile inakatwa VAT na tozo, hawa watu sijui wanafikiria nini aisee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…