makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sio kuthubutu tu watafanya kabisa na sisi simba wa makaratasi, wazee aa kulia lia mtandaoni hatutafanya kitu.Hata sijui, ila huu ukoloni wa kodi ya kichwa haukubaliki, wasidiriki, na WASITHUBUTU!!
Ndio maana wanafanya wanavyojua sababu wameahaona sisi watz ni mazezeta.