Ni kigezo kipi kimetumika kurudisha kodi ya kichwa wakati tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa?

Hata sijui, ila huu ukoloni wa kodi ya kichwa haukubaliki, wasidiriki, na WASITHUBUTU!!
Sio kuthubutu tu watafanya kabisa na sisi simba wa makaratasi, wazee aa kulia lia mtandaoni hatutafanya kitu.

Ndio maana wanafanya wanavyojua sababu wameahaona sisi watz ni mazezeta.
 
Hilo sijapinga, turudi kwenye mada ya kodi ya kichwa ambayo tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa, kigezo kipi kimetumika kuirudisha?
Ilihamishiwa kwenye bidhaa lini!?..kivipi!?..ipi ni Kodi ya kichwa unayolenga hapa!?..kwa nini unasema ni Kodi ya kichwa!?..una elimu ya Kodi!?..Kodi ni nini!?
 
Ilihamishiwa kwenye bidhaa lini!?..kivipi!?..ipi ni Kodi ya kichwa unayolenga hapa!?..kwa nini unasema ni Kodi ya kichwa!?..una elimu ya Kodi!?..Kodi ni nini!?
Kipindi cha Mkapa, kwa kuwekwa kwenye bidhaa pale unaponunua, mfano VAT. Mengime soma uzi
 
Sio kuthubutu tu watafanya kabisa na sisi simba wa makaratasi, wazee aa kulia lia mtandaoni hatutafanya kitu.

Ndio maana wanafanya wanavyojua sababu wameahaona sisi watz ni mazezeta.
Si wanatupumbaza na ule moshi wao wa Mwenge. Uchawi uliosisiwa na mchonga
 
Kwa hiyo vat ni Kodi ya kichwa!?
Ni sehemu ya kile kilichoitwa kodi ya Kichwa,ni ‘mbadala’ wake wa ukusanyaji mapato, kodi kwenye bidhaa zipo nyingi, sio Vat tu, huo ni mfano tu wa namna kodi ya kichwa ilivyohamishiwa kwenye bidhaa..
 
Kutegemea tu kodi ni matumizi mabaya ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…