ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kazi ya ruzuku ni nini? Samia ndio amepandisha bei?Kwamba pembejeo haijapanda bei?
Kwa taarifa Yako mwaka huu tutanunua na mbegu Kwa ruzuku sio mbolea tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya ruzuku ni nini? Samia ndio amepandisha bei?Kwamba pembejeo haijapanda bei?
nini maana ya ruzuku?Kazi ya ruzuku ni nini? Samia ndio amepandisha bei?
Kwa taarifa Yako mwaka huu tutanunua na mbegu Kwa ruzuku sio mbolea tuu
Price coolerantnini maana ya ruzuku?
Kilimo cha chakula, kimekuwa ni cha kibiashara, kinalipa kuliko hayo mazao ya biashara.Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa.
Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na kadhalika.
Zilizo kuwa shule za michepuo ya kilimo zisha jifia zote, sasa kilimo kipi tunakuza? nenda tembelea kwenye vyuo vya kati vya kilimo uone vilivyo choka mbaya. Huwezi zungumzia Kilimo bila kusapoti elimu ya Kilimo.
Zamani tulikuwa na kiwanda kama ZZK Mbeya suna hakika kama kipo au kisha badilishiwa matumizi,unaweza kuta watu wanafugia mbuzi kwenye majengo ya kiwanda.
Kwa sasa hadi fyekeo tuna import then tunakuja kudanganyana kwamba tumekuza kilimo. Nchi imejaaa hadaaa sana hii
Bado wakulima wa mazao mengi wanalia na changaniti zikiwemo Bei kubwa sana za pembejeo, ikiwemo madawa, Mbolea na Mbegu. Bei ya mbegu tu kama za mahindi imekuwa inapanda kila msimu mpya wa kulima na haijawahi shuka bei kabisa.
Ukiuliza wakulima wengi wana pambana wenyewe hakuna sapoti wanayo pata kutoka Serikalini.
Raisi nazani anazungumzia yale mashamba ya Bashe, yale mashamba ya mchongo ,ila kilimo kama kilimo bado sana, Wakulima wanapambana wenyewe mwanzo mwisho.
Serikali ya CCM ikisha ona Raia wamevuna sasa ndio inaibuka kujisifu bila kujua mkulima ameteseka kiasi gani haswa na gharama kubwa sana za pembejeo.
Mazao yote ni ya biasharaKilimo cha chakula, kimekuwa ni cha kibiashara, kinalipa kuliko hayo mazao ya biashara.
Sasa ndiyo yamekuwa hivyo.Mazao yote ni ya biashara
Zamani ipi?Sasa ndiyo yamekuwa hivyo.
Zamani tanzania, mpaka shule walijaa watu ujinga kuwa kuna mazao ya chakula na mazao ya biashara.
Bashe na Mama Samia wamebadili ujinga huo.
Mkoa wa pwani hapo zao lao kuu ni Korosho msimu uliopita mvua zimaharibu korosho at large korosho zimeoza mtini kosorosho haijauzika minada michache kabisa hakuna intervention yoyote kusidia watu wale bei wanapanga nakuamulia jukwaani BBT a failed project iliyokusanya mayuvisisiemu bajeti imeongezeka kwenye matumizi yakawaida mkulima wa kawaida ananufaikaje?Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa.
Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na kadhalika.
Zilizo kuwa shule za michepuo ya kilimo zisha jifia zote, sasa kilimo kipi tunakuza? nenda tembelea kwenye vyuo vya kati vya kilimo uone vilivyo choka mbaya. Huwezi zungumzia Kilimo bila kusapoti elimu ya Kilimo.
Zamani tulikuwa na kiwanda kama ZZK Mbeya suna hakika kama kipo au kisha badilishiwa matumizi,unaweza kuta watu wanafugia mbuzi kwenye majengo ya kiwanda.
Kwa sasa hadi fyekeo tuna import then tunakuja kudanganyana kwamba tumekuza kilimo. Nchi imejaaa hadaaa sana hii
Bado wakulima wa mazao mengi wanalia na changaniti zikiwemo Bei kubwa sana za pembejeo, ikiwemo madawa, Mbolea na Mbegu. Bei ya mbegu tu kama za mahindi imekuwa inapanda kila msimu mpya wa kulima na haijawahi shuka bei kabisa.
Ukiuliza wakulima wengi wana pambana wenyewe hakuna sapoti wanayo pata kutoka Serikalini.
Raisi nazani anazungumzia yale mashamba ya Bashe, yale mashamba ya mchongo ,ila kilimo kama kilimo bado sana, Wakulima wanapambana wenyewe mwanzo mwisho.
Serikali ya CCM ikisha ona Raia wamevuna sasa ndio inaibuka kujisifu bila kujua mkulima ameteseka kiasi gani haswa na gharama kubwa sana za pembejeo.
Kabla ya Bashe kuwa waziri wa kilimo.Zamani ipi?
Ukiwa chawa wa serikali automaticaly ufanisi katika kufikiri unapunguaWewe wa mjini utaona kipi zaidi ya kuona chupi ya mkeo na madanga Yako?
Tuulize sisi wa Vijijini tukujibu.
Tangu enzi za kabla na wakati wa Ukoloni Watanzania wamekuwa wakiuziana vyakula, Tangu enzi za Mkapa Watanzania wamekuwa wanauza vyakula nje ya nchi.Kabla ya Bashe kuwa waziri wa kilimo.
Drama tupoUkienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa.
Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na kadhalika.
Zilizo kuwa shule za michepuo ya kilimo zisha jifia zote, sasa kilimo kipi tunakuza? nenda tembelea kwenye vyuo vya kati vya kilimo uone vilivyo choka mbaya. Huwezi zungumzia Kilimo bila kusapoti elimu ya Kilimo.
Zamani tulikuwa na kiwanda kama ZZK Mbeya suna hakika kama kipo au kisha badilishiwa matumizi,unaweza kuta watu wanafugia mbuzi kwenye majengo ya kiwanda.
Kwa sasa hadi fyekeo tuna import then tunakuja kudanganyana kwamba tumekuza kilimo. Nchi imejaaa hadaaa sana hii
Bado wakulima wa mazao mengi wanalia na changaniti zikiwemo Bei kubwa sana za pembejeo, ikiwemo madawa, Mbolea na Mbegu. Bei ya mbegu tu kama za mahindi imekuwa inapanda kila msimu mpya wa kulima na haijawahi shuka bei kabisa.
Ukiuliza wakulima wengi wana pambana wenyewe hakuna sapoti wanayo pata kutoka Serikalini.
Raisi nazani anazungumzia yale mashamba ya Bashe, yale mashamba ya mchongo ,ila kilimo kama kilimo bado sana, Wakulima wanapambana wenyewe mwanzo mwisho.
Serikali ya CCM ikisha ona Raia wamevuna sasa ndio inaibuka kujisifu bila kujua mkulima ameteseka kiasi gani haswa na gharama kubwa sana za pembejeo.
Kwa nini tunaagiza Ngano na mafuta yq kula kutoka Ukraine, Russia na Malaysia.Tuulize sisi wa Vijijini tukujibu.
Urea inayoitwa ya ruzuku tunauziwa 64000 wakati dukani tukinunua 67000,,,,dudu all tukiuziwa 30000 dukani ila ruzuku ni 29500,,,sulphur chapa mtende tukinunua mfuko 42000 ila hii ruzuku ni 44000Price coolerant
Sasa kama wote mliotangulia mlikuwa busy na Sgr na maendeleo ya mjini tuu ulitegemea nini? Samia ndio ataondosha Hilo na kazi zinaendelea kukamilisha jambo Hilo.Kwa nini tunaagiza Ngano na mafuta yq kula kutoka Ukraine, Russia na Malaysia.
Kwa nini tunaagiza apples kutoka South Africa?
Kwa nini tunaingiza Juice kutoka South Africa, Malawi na Kenya?
Kwa nini tunaingiza maziwa kutoka Uarabuni??
Kwa nini tunaagiza sukari kutoka Brazil?