maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
You can change what you do..but you can't Change what you want!Mzee walimuondoa ili wajiachie watakavyo.
Wakati unachukua chapaa za watu hukujua watu wanadhirika?
Kwamba wakati unapiga pini vyanzo vyao vya kula hukujua nao wanaumia?
Na hukubadilisha ulichokua unataka ila ukabadilisha namna ya kukipata, wao wakikuangalia tu! Leo wanajazia palipopungua usilalamike,kama ni gharama uliingia na wao pia waliumia it's a Game Bro!
And you are a Looser..!
Na ww Gentamycine...hizo Lory mbona ni Investment Ndogo sana kwa kulinganisha na watu wa kariba yake? Mwacheni ndio kwanza anaanza hana kitu...ndo kwanza na yeye anatafuta ugali wa watoto...na mbona vipindi vyote hamkuhojiana mje leo kumuonea bint wa watu...
Ila hamjaelewa somo...ngoja siku akae mchaga hapo juu mtacheka na kulia kwa pamoja....mtamkumbuka mzee Mrema...