Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi na Mwendawazimu.

Yaliingia rasmi nchini Tanzania Mwezi Machi mwaka huu wa 2022 na mpaka sasa ( Leo ) naandika huu Uzi ni kwamba Magari ( Malori ) 300 tayari yako Barabarani yanasafirisha Bidhaa ( Mizigo ) nchi za Congo DR, Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi ila Malori ( Magari ) 200 bado yanasubiria ( yanasubiri ) kupangiwa Ruti.

Hivyo basi GENTAMYCINE naomba nichukue Fursa hii kumuomba huyo Kiongozi aliyeiingiza haya Malori yake 500 Mwezi Machi mwaka 2022 ayauze upesi ili Hela itakayopatikana atusaidie Kutujengea Visima vya Maji Dar es Salaam ili Mgawo uishe, atununulie Maharage tulie Ugali kwani hii ya Kilo kuwa Tsh 4,000/= sasa hatuiwezi na kama Chenji itabakia basi itumike kutununulia 'Mabando' ya 'Internet' ili 24/7 tuwepo Hewani ( Online ) na tuendelee Kumshauri, Kumsaidia na Kumfundisha jinsi ya Kufikiri kusudi Mambo yake ya SIRI yasiwe yanajulikana Kiurahisi na Wafukua SiRI tuliotukuka.
Gentamycine unataka rushwa eti?Mweke hadharani tumzodowe
 
Kuna vyuma vinashushwa vingi mno afu vipya

Angalia SHTL, Ruvuma Coal, Blue Coast, Africarriers, GSM, Usangu, Transcargo

Hawa kwa ujumla wameshusha zaidi ya lori mpya 2000+
Ongezea na ASAS brand new truck from Scania.
 
Dah,kumbe zile gari zote ni za kiongozi...

So kumbe wale jamaa ni kuzugisha tu,sio mchezo.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Kumbe ndiyo maana kuna jamaa aliandika hapa, makaa ya mawe kusafirishwa, kwa magari SMG badala ya njia ya bahari, kitendo kinacho wanyima Riziki wahanjaji pale bandalini.
 
Acha kutuletea code ,wengine sio washwahili kwa kutuletea mafumbo wewe mtaje tu, si ajabu tumebaki watu wa majungu hata huku umeufyata kweli utaweza kutoka barabarani na kusema yanyokukera? watanzania waoga sana, tumezidiwa kwa mbali sana na Wakenya,Wamalawi,Wazambia
Pumbavu usinilazimishe niandike utakavyo Pang'ang'a Wewe na bado hujawa na wala huna Mamlaka hayo pia sawa?

GENTAMYCINE naiandikia audience yangu inayopenda Code ( Mafumbo ) na huwa wananielewa mapema kama ambavyo hata katika Uzi huu wamenielewa na ndiyo unaona hata Uzi wenyewe sasa upo Ukurasa wa Sita ( 6 )

Halafu nionyeshe ni wapi popote pale nilipoanzisha huu Uzi Wangu nilikuita Pang'ang'a ( Idiot ) Moja Wewe uje uutizame na uuchangie.

Hamnipendi ila 24/7 mnanishobokea.

Cc: Crocodiletooth
 
Tusitegemee TRC ije kusimama, wazee wa malori hawatakubali kamwe.
TRC ilikua ifike Moro toka Dar 2019 November. Leo hii 2022 November bado SGR haijabeba hata watoto wadogo kwenda Moro.
Tusitegemee kabisa kwamba SGR itakuja kufanya kazi Tanzania, labda maropes bin kipara atakapoingia madarakani 2030 na kuteuwa watu sirias kuendesha mradi
 
500 drivers wamepata ajira hapo
Ila mwanzo ungesikia CAG anasema kuna trillions kadhaa sizioni ila zilikuwa hapa

Sasa bora nani hapa
Wote ni waizi ila wengine wanaiba na kula na wengine
Sipendi wizi kabisa ila ndio imekuwa jadi kwenu ibeni tu
tirion mpk leo hatuon impact aliyoiacha au unahisi Tirion ni ela ya mboga ?
 
500x100,000,000=50,000,000,000

Billion 50,kumbe sio hela nyingi sana

Kumbuka kipindi kile tulipoteza 1.5 trillion
impact yake ni ipi , onesha alichoacha kama.ushaidi , Muda mwingine mnakuwa wapumbav kwa mihemko ya kijinga
 
Back
Top Bottom