Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

mi nataka hii hali iendelee hiivi au izidi, maana nyinyi watz maskini mlikuwa mnafuata mkumbo pasi kutumia akili. sasa watu wanalamba asali mnabaki kupiga kelele. sasa hamna maji wala umeme.
DUNIANI hauwezi kupendwa na wote hivyo usitulaumu Sana Kwa kumkosoa magufuli
 
Kwenye uzi wa YOGA alimaliza kila kitu kuhusu BORN TOWN.
 
Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi na Mwendawazimu.

Yaliingia rasmi nchini Tanzania Mwezi Machi mwaka huu wa 2022 na mpaka sasa ( Leo ) naandika huu Uzi ni kwamba Magari ( Malori ) 300 tayari yako Barabarani yanasafirisha Bidhaa ( Mizigo ) nchi za Congo DR, Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi ila Malori ( Magari ) 200 bado yanasubiria ( yanasubiri ) kupangiwa Ruti.

Hivyo basi GENTAMYCINE naomba nichukue Fursa hii kumuomba huyo Kiongozi aliyeiingiza haya Malori yake 500 Mwezi Machi mwaka 2022 ayauze upesi ili Hela itakayopatikana atusaidie Kutujengea Visima vya Maji Dar es Salaam ili Mgawo uishe, atununulie Maharage tulie Ugali kwani hii ya Kilo kuwa Tsh 4,000/= sasa hatuiwezi na kama Chenji itabakia basi itumike kutununulia 'Mabando' ya 'Internet' ili 24/7 tuwepo Hewani ( Online ) na tuendelee Kumshauri, Kumsaidia na Kumfundisha jinsi ya Kufikiri kusudi Mambo yake ya SIRI yasiwe yanajulikana Kiurahisi na Wafukua SiRI tuliotukuka.
Tuwekee code tuifungue mkuu
 
Attachments

  • 372E68F4-0CDC-44AE-A0F3-4B40AA4E8B29.jpeg
    372E68F4-0CDC-44AE-A0F3-4B40AA4E8B29.jpeg
    87.7 KB · Views: 2
Huwa napenda mno Watu 'Intelligent' kama Wewe hapa JamiiForums na ambao huwa mna Akili za haraka za Kunielewa GENTAMYCINE.

Mkuu hao ( hawa ) akina MSG siyo tu Chaka la aliyeyaingiza hayo Malori 500 bali pia ni Chaka Kuu za yule Mr. Smiling Mswahili.
Dogo kafungua code
 
KJM[emoji1787]
 
Ni za huyo Kiongozi wako na aliziingiza 500 ila sasa zilizoko Kazini ( Barabarani ) ni 300 na 200 basi zinasubiri Kupangiwa Ruti.

Hivi nikienda China tarehe 2 Novemba na kurejea nchini Tanzania tarehe 4 Novemba kwa mliosafiri huko naweza kutakiwa kuwa na Kiasi gani ( Shilingi ngapi ) cha Matumizi kwani nataka kwenda huko Kibiashara.
hahahaha,nimekuelewa chief.hata baadhi ya madereva wanahizi tetesi za mmliki
 
Kuna vyuma vinashushwa vingi mno afu vipya

Angalia SHTL, Ruvuma Coal, Blue Coast, Africarriers, GSM, Usangu, Transcargo

Hawa kwa ujumla wameshusha zaidi ya lori mpya 2000+
Kiongozi hapo ana 50% Share, Mshauri wake Mswahili ana 20% shares na Wageni ( Investors ) wana 30% share yao.
 
Back
Top Bottom