Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi na Mwendawazimu.

Yaliingia rasmi nchini Tanzania Mwezi Machi mwaka huu wa 2022 na mpaka sasa ( Leo ) naandika huu Uzi ni kwamba Magari ( Malori ) 300 tayari yako Barabarani yanasafirisha Bidhaa ( Mizigo ) nchi za Congo DR, Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi ila Malori ( Magari ) 200 bado yanasubiria ( yanasubiri ) kupangiwa Ruti.

Hivyo basi GENTAMYCINE naomba nichukue Fursa hii kumuomba huyo Kiongozi aliyeiingiza haya Malori yake 500 Mwezi Machi mwaka 2022 ayauze upesi ili Hela itakayopatikana atusaidie Kutujengea Visima vya Maji Dar es Salaam ili Mgawo uishe, atununulie Maharage tulie Ugali kwani hii ya Kilo kuwa Tsh 4,000/= sasa hatuiwezi na kama Chenji itabakia basi itumike kutununulia 'Mabando' ya 'Internet' ili 24/7 tuwepo Hewani ( Online ) na tuendelee Kumshauri, Kumsaidia na Kumfundisha jinsi ya Kufikiri kusudi Mambo yake ya SIRI yasiwe yanajulikana Kiurahisi na Wafukua SiRI tuliotukuka.
Kwani kuingiza maloli nhini ni makosa? Maana sijaona ulipotaja kosa lake huyo tajiri..
 
Hizo gari zimepeleka mbolea .cement .drc mzigo wa kutosha. Na zinarudi na colbat za kutosha zaidi
Ni za huyo Kiongozi wako na aliziingiza 500 ila sasa zilizoko Kazini ( Barabarani ) ni 300 na 200 basi zinasubiri Kupangiwa Ruti.

Hivi nikienda China tarehe 2 Novemba na kurejea nchini Tanzania tarehe 4 Novemba kwa mliosafiri huko naweza kutakiwa kuwa na Kiasi gani ( Shilingi ngapi ) cha Matumizi kwani nataka kwenda huko Kibiashara.
 
Pumbafu ila daah basi tu jana nilikuwa ushirombo karibu na bango la kanisa la Nyumba ya mkate yamepita kama 45 hivi yamefuatana nikabaki nasonya tu huku naelekea kanisani Mungu atufurahishe kama alivyo tufurahisha 9. 21 20.3
Mkuu nilikua hapo Kilima hewa Ushirombo.
 
Mzee anisamehe Tu Huko Aliko kwasababu pengo lake SASA ndiyo naliona kabisaa!!!! Tulikuwa tunamkataa kipindi yupo hai Ila umuhimu wake unaonekana
mi nataka hii hali iendelee hiivi au izidi, maana nyinyi watz maskini mlikuwa mnafuata mkumbo pasi kutumia akili. sasa watu wanalamba asali mnabaki kupiga kelele. sasa hamna maji wala umeme.
 
Back
Top Bottom