Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

Kadiri siku zinavyozidi kusogea ndipo Ile picha ya Mzee marehemu kweli kuna watu wamesababisha kifo chake...hata Mimi napata picha kuwa MZEE SMILING NI MUUAJI MKUU WA MZEE WETU maana jinsi anavyopiga hela za watanzania ni dhahiri huyu Mzee kuna namna alifanya
Umeandika utafikiri unaushahidi wa kutosha jinsi gani anapiga hizo hela za watanzania?
 
hahahaha,nimekuelewa chief.hata baadhi ya madereva wanahizi tetesi za mmliki
Nimehakikishiwa na Mmoja wa Watendaji wa Juu ( tena Mwanamke ) kuwa ni za Kiongozi na alishauriwa na Mshauri Mr. Mswahili Tabasamu Mananasi Kwetu aweke Nembo ( Chapa ) ya Wapigaji Wenzake wenye Klabu 'inayodemadema' Kimataifa kuanzia Sudan hadi Tunisia ili Kujificha na Watanzania tusijue.
 
..
 
Ina maana yule white ndio mmiliki?au mwanae?
 
Huwa napenda mno Watu 'Intelligent' kama Wewe hapa JamiiForums na ambao huwa mna Akili za haraka za Kunielewa GENTAMYCINE.

Mkuu hao ( hawa ) akina MSG siyo tu Chaka la aliyeyaingiza hayo Malori 500 bali pia ni Chaka Kuu za yule Mr. Smiling Mswahili.
Ha haa,Mr smiling
 
Huyu GENTA kuna uzi mmoja nilipishana nae, I'm very sorry, nimeunganisha dots ule uzi wa ziara ya Tshisekedi na huu wa haya malori 500 ya huyo mzee kiongozi naanza kupata picha, nini muhimu kilizungumzwa kati ya chief Hangaya na ankali Tshisekedi. Pia dots zimenipeleka kwenye zoezi la Dragon Fly ndio nimepata picha halisi.Daah kweli hii ni bongo daslama kua uyaone...Salut
 
HAKUNA LOLOTE HUYU JAMAA NI MUOTA NJOZI TU, HAKUNA HATA KIMOJA CHA UKWELI MAZUNGUMZO YA TSHISEKEDI ZAIDI YALIKUWA YA KIUCHUMI NA SI VILE MDHANIAVYO.
 
HAKUNA LOLOTE HUYU JAMAA NI MUOTA NJOZI TU, HAKUNA HATA KIMOJA CHA UKWELI MAZUNGUMZO YA TSHISEKEDI ZAIDI YALIKUWA YA KIUCHUMI NA SI VILE MDHANIAVYO.
Una uhakika??? Mbona hayo mazungumzo waliweka bayana kua niya kiuchumi na biashara na mwisho kabisaa wakachomekea na ulinzi na usalama...wajanja ujue wameshafahamu unganisha dots...ndio maana yule jamaa aliamua kununua pegasus ya waisrael ili akae vizuri .
 
Kwani ukituliza vyema kabisa Akili yako na kuyasoma vyema Maelezo yangu una uhakika kuwa sijamtaja / hajatajwa?

Wapishe wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums na ambao huwa wananielewa haraka GENTAMYCINE waje wachangie na utamjua na Kujifunza pia.
Acha kutuletea code ,wengine sio washwahili kwa kutuletea mafumbo wewe mtaje tu, si ajabu tumebaki watu wa majungu hata huku umeufyata kweli utaweza kutoka barabarani na kusema yanyokukera? watanzania waoga sana, tumezidiwa kwa mbali sana na Wakenya,Wamalawi,Wazambia
 
Back
Top Bottom