kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Ngoja nikae kimya ugali mtamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ni kwamba awali mpigaji alikuwa ni mtu mmoja pekee mwenye choyo asiyetaka yeyote ale wala kusogelea.Mzee anisamehe Tu Huko Aliko kwasababu pengo lake SASA ndiyo naliona kabisaa!!!! Tulikuwa tunamkataa kipindi yupo hai Ila umuhimu wake unaonekana
Kwahiyo sasa nchi inaliwa mande sio. Tunapigwa mtungo.Tofauti ni kwamba awali mpigaji alikuwa ni mtu mmoja pekee mwenye choyo asiyetaka yeyote ale wala kusogelea.
Pamoja na kuwa sina hakika na taarifa za mtoa mada ila kwa taarifa tu, HAKUNA lori la Milioni 100, kutokea nje ya Nchi; labda kama unaongea Canter?500x100,000,000=50,000,000,000
Billion 50,kumbe sio hela nyingi sana
Kumbuka kipindi kile tulipoteza 1.5 trillion
Ila wabongo ndio maana hakuna MTU makini anayewachukulia serious. Wengi midomo mirefu imechongoka na kuwasha kama kunguru aliyepakwa pilipili.Inamaana SMG ni Chaka la wabadhilifu?
Ila wabongo ndio maana hakuna MTU makini anayewachukulia serious. Wengi midomo mirefu imechongoka na kuwasha kama kunguru aliyepakwa pilipili.
Hivi kama kweli unahitaji kuzungumza kama MTU mzima mwenye akili timamu unashindwa nini kusema GSM aliingiza maroli 500 na weka ushahidi kama.in halali au haramu.
Hakuna kitu sipendi kama vijiumbeya umbeya utafikiri shoga linatafuta bwana.
Yale malori kilikuwa ni kichwa tu bila telaPamoja na kuwa sina hakika na taarifa za mtoa mada ila kwa taarifa tu, HAKUNA lori la Milioni 100, kutokea nje ya Nchi; labda kama unaongea Cater?
Pumbafu ila daah basi tu jana nilikuwa ushirombo karibu na bango la kanisa la Nyumba ya mkate yamepita kama 45 hivi yamefuatana nikabaki nasonya tu huku naelekea kanisani kumwomba Mungu atufurahishe kama alivyo tufurahisha 9. 21 20.3Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi na Mwendawazimu.
Yaliingia rasmi nchini Tanzania Mwezi Machi mwaka huu wa 2022 na mpaka sasa ( Leo ) naandika huu Uzi ni kwamba Magari ( Malori ) 300 tayari yako Barabarani yanasafirisha Bidhaa ( Mizigo ) nchi za Congo DR, Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi ila Malori ( Magari ) 200 bado yanasubiria ( yanasubiri ) kupangiwa Ruti.
Hivyo basi GENTAMYCINE naomba nichukue Fursa hii kumuomba huyo Kiongozi aliyeiingiza haya Malori yake 500 Mwezi Machi mwaka 2022 ayauze upesi ili Hela itakayopatikana atusaidie Kutujengea Visima vya Maji Dar es Salaam ili Mgawo uishe, atununulie Maharage tulie Ugali kwani hii ya Kilo kuwa Tsh 4,000/= sasa hatuiwezi na kama Chenji itabakia basi itumike kutununulia 'Mabando' ya 'Internet' ili 24/7 tuwepo Hewani ( Online ) na tuendelee Kumshauri, Kumsaidia na Kumfundisha jinsi ya Kufikiri kusudi Mambo yake ya SIRI yasiwe yanajulikana Kiurahisi na Wafukua SiRI tuliotukuka.
Weka ushahidi ili tukuelewe maana kukuamini hatuweziHuna Akili Wewe.
SMG na yule mkuu wa Ardhi mdogo Tanzania nzima na Mshua wake si dam dam?Inamaana SMG ni Chaka la wabadhilifu?
Huyo atakuwa ni mzee wa bagamoyo nasikia ni mmiliki pia wa giesiemNa baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi na Mwendawazimu.
Yaliingia rasmi nchini Tanzania Mwezi Machi mwaka huu wa 2022 na mpaka sasa ( Leo ) naandika huu Uzi ni kwamba Magari ( Malori ) 300 tayari yako Barabarani yanasafirisha Bidhaa ( Mizigo ) nchi za Congo DR, Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi ila Malori ( Magari ) 200 bado yanasubiria ( yanasubiri ) kupangiwa Ruti.
Hivyo basi GENTAMYCINE naomba nichukue Fursa hii kumuomba huyo Kiongozi aliyeiingiza haya Malori yake 500 Mwezi Machi mwaka 2022 ayauze upesi ili Hela itakayopatikana atusaidie Kutujengea Visima vya Maji Dar es Salaam ili Mgawo uishe, atununulie Maharage tulie Ugali kwani hii ya Kilo kuwa Tsh 4,000/= sasa hatuiwezi na kama Chenji itabakia basi itumike kutununulia 'Mabando' ya 'Internet' ili 24/7 tuwepo Hewani ( Online ) na tuendelee Kumshauri, Kumsaidia na Kumfundisha jinsi ya Kufikiri kusudi Mambo yake ya SIRI yasiwe yanajulikana Kiurahisi na Wafukua SiRI tuliotukuka.
Endelea tu kucheza na mshika rimot na mpini.Huwa napenda mno Watu 'Intelligent' kama Wewe hapa JamiiForums na ambao huwa mna Akili za haraka za Kunielewa GENTAMYCINE.
Mkuu hao ( hawa ) akina MSG siyo tu Chaka la aliyeyaingiza hayo Malori 500 bali pia ni Chaka Kuu za yule Mr. Smiling Mswahili.
Na ukienda kwenye page ya yule anaye jiita bugatti ...alijirecord nayo video....aisee kimoyo moyo nikajisemea kumbe malori yanalipa hiviNa baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi na Mwendawazimu.
Yaliingia rasmi nchini Tanzania Mwezi Machi mwaka huu wa 2022 na mpaka sasa ( Leo ) naandika huu Uzi ni kwamba Magari ( Malori ) 300 tayari yako Barabarani yanasafirisha Bidhaa ( Mizigo ) nchi za Congo DR, Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi ila Malori ( Magari ) 200 bado yanasubiria ( yanasubiri ) kupangiwa Ruti.
Hivyo basi GENTAMYCINE naomba nichukue Fursa hii kumuomba huyo Kiongozi aliyeiingiza haya Malori yake 500 Mwezi Machi mwaka 2022 ayauze upesi ili Hela itakayopatikana atusaidie Kutujengea Visima vya Maji Dar es Salaam ili Mgawo uishe, atununulie Maharage tulie Ugali kwani hii ya Kilo kuwa Tsh 4,000/= sasa hatuiwezi na kama Chenji itabakia basi itumike kutununulia 'Mabando' ya 'Internet' ili 24/7 tuwepo Hewani ( Online ) na tuendelee Kumshauri, Kumsaidia na Kumfundisha jinsi ya Kufikiri kusudi Mambo yake ya SIRI yasiwe yanajulikana Kiurahisi na Wafukua SiRI tuliotukuka.
Sasa kwanini utukane? Una masilahi yoyote na GSM?Ila wabongo ndio maana hakuna MTU makini anayewachukulia serious. Wengi midomo mirefu imechongoka na kuwasha kama kunguru aliyepakwa pilipili.
Hivi kama kweli unahitaji kuzungumza kama MTU mzima mwenye akili timamu unashindwa nini kusema GSM aliingiza maroli 500 na weka ushahidi kama ni halali au haramu.