Hao hawajamshuhudia gaucho jaman wamuulize David seven world cup dakika za jiooooon alipopiga direct free kick huyo ndo Gaucho uwanya ulikua unalipuka kila akishika mpira ety mess kijeba chabchenga moja goʻli hawez mfikia uchoTatizo umekuja na majibu Yako, ila Gaucho ni Nabii wa Ufundi wote wa
mpira hajawahi tokea mwingine.
Pele umemuacha wapi kaka!!?Ka google mkuu acha kubishana na fact
Si kweliMpira ni mchezo wa team bt rate ya mchango wa kila mchezaji hutofautiana ndo maana kuna wachezaji wakiwa hawapo direct athari zao huonekana.
Mchango wa messi ktk makombe ya barca na argentina ni wa pekee na huenda bila yeye kuna baadhi ya makombe yasingepatikana.
Fafanua.Si kweli
Nifafanue nini!?..yaani mtoe messi barcelona wanabaki xavi,iniesta,villa, ibrahimovic, Alves,busquet nk,wanakosa kombe hao!?Fafanua.
Mchezaji bora ni magoli tu, kiungo hawezi kuwa mchezaji bora!?YouTube Neymar hajafanya hayo matusi ?
Kuwa all time Brazilian top score ni mchezo?
Neymar utoto mwingiWazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji kwako ni Nini haeleweke nikapata CONCULUSION kuwa anaongea skills ule UDAMBWI .
Sasa katika uwanja wa skills udambwi hao niliowataja Kuna kitu Gani wamemzidi NEYMAR JR?
Tuachane na kule kukalilishwa kuwa Neymar ni bishoo bishoo
Mpe heshima yake Ronaldinho Gaucho.Ufundi unaupimaje kipi gaucho kafanya Neymar hajafanya?
Makofi kapigiwa Hadi inesta bernabeuHuyu gaucho kudadeki ile mechi ya pale benabau alipiga boli mpaka mashabiki wa madrid walimpigia makofi...jamaa alikuwa hatari.
Alafu sasa kabla mechi kuanza jamaa anatabasam tuu ready kutoa burudani. Acha kabisa jamaa alijua kuburudisha ulimwengu na miguu yake
Ukweli mtupuMpira ni mchezo wa team bt rate ya mchango wa kila mchezaji hutofautiana ndo maana kuna wachezaji wakiwa hawapo direct athari zao huonekana.
Mchango wa messi ktk makombe ya barca na argentina ni wa pekee na huenda bila yeye kuna baadhi ya makombe yasingepatikana.
Sasa iyo freeckick direct Messi kafunga ngapi?Hao hawajamshuhudia gaucho jaman wamuulize David seven world cup dakika za jiooooon alipopiga direct free kick huyo ndo Gaucho uwanya ulikua unalipuka kila akishika mpira ety mess kijeba chabchenga moja goʻli hawez mfikia ucho
Hata Neymar kafunga za kutoshaSasa iyo freeckick direct Messi kafunga ngapi?
Yaani hata gaucho mwenyewe anakili Messi yupo juu yake wewe unabisha duh
Kwa mechi mbili ndiyo Mpira uumbwe kwajiri yake mbona mnachekesha wazeeGaucho mpira uliumbwa kwa ajili yake na mpka Leo hajazaliwa mwngne anaebisha tafuta mechi ya Chelsea vs Barcelona pale darajan na mechi ya ac Milan vs Barcelona pale sanciro