Neymar hajafanya style Gani gaucho kafanya Neymar hajafanya?Wadau wengi wanakwambia gaucho is the best..
Gaucho ndio binadamu pekee ambae alikua Aki uamrisha mpira na ukamtii.
Gaucho ndie KIUMBE pekee Alie kufanya mpira atakavyo na mpira ukamtii..
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Katikati kafunga adi caceido wa Chelsea nae ni sawa na gaucho?Hajawai kufunga lile goli alilo wafungaga Chelsea huku akikata MAUNO Kama gaucho.
Neema hajawai kufunga kwa shuti la Kati Kati ya uwanja.
Gaucho amewai kugandisha mpira kifuani na kukimbia kwa kuwa hadaa maadui..
Gaucho amewai kupiga faulo na free kick ambazo huyo neima hajawai
Neema amewai kushinda world cup??!
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Free kick za ajabu Neymar kaangalie game ya Barca vs psg alipokuwa Barca ndiyo utaona Neymar alikuwa kichaa kabisaHajawai kufunga lile goli alilo wafungaga Chelsea huku akikata MAUNO Kama gaucho.
Neema hajawai kufunga kwa shuti la Kati Kati ya uwanja.
Gaucho amewai kugandisha mpira kifuani na kukimbia kwa kuwa hadaa maadui..
Gaucho amewai kupiga faulo na free kick ambazo huyo neima hajawai
Neema amewai kushinda world cup??!
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Ashinde ballon de òrr na kombe la dunia kwanzaKivipi ulitaka afanyeje?
Mpira wa kisasa umekuwa biashara zaidi kuliko burudani! Enzi za kina Ronadinho ndizo zilikuwa zinahitimisha enzi za kina Pele ambapo soka lilikuwa burudani kwanza kisha biashara! Makocha wa sasa wanazingaia team work zaidi kuliko personal talent! Leo Pele akicheza kama aliyokuwa anacheza ataishia benchi! Kwa sasa mwisho wa siku inatazamwa uchezaji wako unachangia kiasi gani kwenye kuleta ushindi kuliko kuburudisha!Kama ni udambwi udambwi tu basi kwangu mimi sijaona wa kumfikia Ronaldinho, ila tukija kwenye rekodi hebu muambie huyo jamaa yako aache kuvuta hicho anachovuta, kama kuna wachezaji ambao walifanya mpira wa miguu uonekane ni mchezo rahisi basi Lionel ndio wa kwanza
Sio kila mtu anaweza hicho kitu!Ka google mkuu acha kubishana na fact
Ronadinho hana mpinzani kwa burudani!Wazee Leo nimebishana na mtu umu in comments anadai ZIDANE was talented than MESSI nikiangalia hoja zake nikimuwekea statistics anakataa individuals achievements pia anazikataa nikimuuza kipaji kwako ni Nini haeleweke nikapata CONCULUSION kuwa anaongea skills ule UDAMBWI .
Sasa katika uwanja wa skills udambwi hao niliowataja Kuna kitu Gani wamemzidi NEYMAR JR?
Tuachane na kule kukalilishwa kuwa Neymar ni bishoo bishoo
Na akishaanza kuwakata mabeki mpira haumponyoki mguuni utasema ana sumaku aseeHuyu mwamba ana dunia yake, ile speed ya chenga zake unaeza hisi amefungwa mota miguuni.
Huyu kiumbe hana mfano kwenye football, ameifanyia kila kitu footbal, hakika hatumdai japo tutaendelea kuyasimulia maajabu yake vizazi na vizazi.Na akishaanza kuwakata mabeki mpira haumponyoki mguuni utasema ana sumaku asee
Naomba kwa heshima yako nipandishie clip ya Robinho de souza...huyu jamaa alikuwa level ya mbali sana sema alikuwa haimbwi kama dinho.Kwa uwezo wa kuuchezea mpira, kunyanyasa mabeki, na kuburudisha, hajawahi kuokea mwanasoka kama Gaucho!
View: https://youtu.be/niKP23e2PH4?t=61
Tuliolelewa na wazazi hatuwezi kuandika hicho ulichoandika na tuliokulia Mjini..maana watu wa Vijijini wanaamini sana katika matusi kumbe ni aina fulani ya ushamba tu.Unauhakika bibi yako hakuwa na tatizo la akili?
Sasa watu wazima TUNAONGEA unaleta reference ya bibi yako stupidyTuliolelewa na wazazi hatuwezi kuandika hicho ulichoandika na tuliokulia Mjini..maana watu wa Vijijini wanaamini sana katika matusi kumbe ni aina fulani ya ushamba tu.
Hiyo game psg alikula 6Free kick za ajabu Neymar kaangalie game ya Barca vs psg alipokuwa Barca ndiyo utaona Neymar alikuwa kichaa kabisa
Starehe zilimponzaNaomba kwa heshima yako nipandishie clip ya Robinho de souza...huyu jamaa alikuwa level ya mbali sana sema alikuwa haimbwi kama dinho.
Mkuu mimi situkani ndio ujue malezi yangu na yako ni tofauti kabisaa...una utu uzima gani wa kutukana watu usiowajua..sema umeishi maisha mabovu na unaendelea kuishi life mbovu yenye full stress...Sasa watu wazima TUNAONGEA unaleta reference ya bibi yako stupidy