Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Tafuta miti, kaptula na ghorofa.
Nimemaliza😀
 
Twende basi nitakua nakupikia pikia huko unaweza kuja hata na rafiki ako mi ntakua nawapiga na picha🤣🤣

Yani serious naitamani mahali kama hiyo halafu nikakae na simu yangu na mziki tu sitaki watu hata
Tatizo umesema utavaa kikaptula,sasa mimi nikiona miguu tu,nahisi uvumilivu kama unaweza ukaja kunishinda.

😛 😛
 
Back
Top Bottom