Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Utakuja uliwe na wanyama wakalli uko mwituni
Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
 
Mkuu unaweza kutu wekea japo ka picha Kwa tusio fahamu tujionee....
Ndege joni ndio huyu.....
Screenshot_20230122-125333.png
 
Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Nimeimagine 😅😅😅
 
Back
Top Bottom