Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Itakuwa ulikataa shule. Wengi wao wanaliaga katika mkondo huo
Wala sikukataa shule, hapa nilipo nina degree ya UDSM na MBA ya SAUT.
Kielimu niko vizuri kabisa, ila katika maisha sio wakataa shule tuu ndio wanalia kuna maisha mengine nje ya kusoma. Halafu hapo nmewaongelea watu wote in general sio mimi tuu.
 
Watu wamebukua wapo full 🌝 Kila idala.....usishangae mtu ni boda boda au chinga....vyeti vipo kabatini....
 
Watu wamebukua wapo full [emoji275] Kila idala.....usishangae mtu ni boda boda au chinga....vyeti vipo kabatini....
Heheee vyeti hata kuvishika ni nadra, kama mimi vingekuwa vimeliwa na fungus kabisa nashukuru nilivi-laminate tuuu ndio ponapona yake.

Kuna sehemu mama ntilie wafanyakazi wake wote wana degree imagine
 
Mwe mwe mwe!
alafu uskikute huyo mama ntilie ni la saba.!!?
 
Back
Top Bottom