Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Natamani kupata 120,000 Tzs nikamilishe malipo ya Domain, Host nk ya Website/Blog yangu changamoto imekuwa kubwa sana pesa napata chache majukumu ya home makubwa nina Goals kadhaa huu mwaka kubwa ila nikikamilisha hii kwa wakati itaweza fungua zingine zaidi kwasbabu nimeamua kwa dhati kuwekeza nguvu kwenye TECHNOLOGY

Mpaka Sasa nimeshandaa makala zaidi ya 100 zenye ujazo wakutosha na kujifunza mbinu za SEO changamoto kumiliki Website, so Mungu anipe mtu atayeniwezesha hili hata kwa mkopo nitamlipa kidogo kidogo kila Mwezi maana changamoto kwangu kumiliki pesa ya pamoja majukumu

Hizi makala za Blog 👇👇
View attachment 2491270

Katika Goal nne za mwaka huu Blogging mojawapo na ndio natakiwa niifanye kwa haraka zaidi (Fast not Shortcut)
View attachment 2491261

Natamani kukamilisha hili kwa wakati sana
Laki 5 yao sijui 1 Million umeshawalipa TCRA au unataka wakudake wakulipishe Million 5 na Jela Mwaka?
 
Just five millions
Tsh 5,000,000

Only
Umejaribu hii? Ukashindwa KUOPOA hata 5,000,000 kweli?
Screenshot_20230122-141525.png
 
Nataman nipate external yenye maseries na movies kama zoooteeee,nna alosto so poa
 
Nataman sanaaaa asenyani wachapike leo,ntafurahi sana aloooo
 
Milioni moja tuu yaani nikiipata leo au kesho Mungu atambariki aliyenisuprise. Na atakuwa kanisaidia sana
 
Back
Top Bottom