Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁

Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Njoo huku karagwe niko vacation kuna view kama hiyo
 
Back
Top Bottom