sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@ERoniSomeone to truly love and appreciate me[emoji26][emoji27][emoji27]
Nipo hapa@ERoni
Njoo hapa...
Nyinyi Boda Boda mkishapata Boda hata simu hampokeiMwenye pikipiki ambayo haitumii sana anipe jamani niokoe jahazi....hats kama ni kufanya marejesho ya taratibu. Help me wanajf wenzangu.
Jina lingine ni 'Ndege Mwarabu'.Huyu so NDIO anwitwaga bwana afya....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natamani nishike hela mpaka nichanganyikiwe,
Kuchanganyikiwa tayari,bado kushika hela tu.
Kakashemeji utani umeanza lini?Sogea Kwa wakala....
Nifanye jambo
alikuwa anapasuka, wamenipoza 56000Pole sana mkuu,
Huo mkeka utakuwa uliumiza kichwa balaa. 98 ml sio mchezo.
Njoo huku karagwe niko vacation kuna view kama hiyoKwenda mahali ambapo kuna miti mingi na sauti za ndege, mi niwe ndani ya nyumba ghorofa naipata hiyo view ya miti kutoka ndani..... huku nimevaa kikaptula nasikiliza mziki huku napika pika vyakula vizuri vizuri 😁
Vijana wa ovyo watakuja 👇
"Tafuta pesa"
Nitumie nauli dear 😁 namba ile ileNjoo huku karagwe niko vacation kuna view kama hiyo
Nipo sirias. Shem dada. Yani muamala utasoma vere suniKakashemeji utani umeanza lini?
Kama aftatu eeh 🤣🤣🤣Kamilioni tu.
Vishu MtataMimi natamani mdau anipe elfu thelathini(30,000 Tzs)
TrueNipo sirias. Shem dada. Yani muamala utasoma vere suni
dronedrake mwenyekiti me naenda kuoa Sasa 😋😋.Someone to truly love and appreciate me[emoji26][emoji27][emoji27]