Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Kuna michongo nimeletewa, Ila inabidi niwe na kampuni, sasa natamani kufungua kampuni, taratibu niachane na umachinga wanangu niwafundishe kidogo kidogo how to do, wakiwa wakubwa naamini kuna mmoja ambaye ata show interest...
Natamani niki retire aiendeleze...
Au wote waendeleze...
Mimi na Baba Yao to feel proud!!!
That's my wish!!!
Amen.
 
Kufungua kampuni unaweza kabisa....huu mwaka kabla haujaisha ukiamua utaweza kumiliki kampuni.....
Nikujipa malengo na action....one day before the end of this year utarudi kutupa ushuhuda.....Mtangulize Mungu...
 
Back
Top Bottom