Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

Ninahitaji Sana na nitaendelea kuhitaji zaidi na zaidi kupata mafunzo ya ulinzi binafsi, niwe na uwezo wa kujilinda mwenyewe. Baada ya hapo nipate nafasi kubwa zaidi ya kulinda nchi yangu katika kitengo chochote Cha ulinzi. NINAAMINI NDOTO YANGU ITATIMIA🙏
 
Natamani sana kupata rafiki anaejua kilimo kiundani na anefanya kilimo biashara ili nijifunze kwa mifano dhahiri baadae na mimi nifanye kilimo kisasa cheje tija
 
Kupata wateja kwenye biashara yangu
B59659E6-3CB5-4D4B-A99C-4D411CD5C640.jpeg
 
Ndoto yangu ni kufanya kazi kwenye kampuni zinahusika na gesi madini na mafuta nimeshatembelea kwenye ofisi zao napewa MAJIBU matamu ila naamini ipo siku kiu yangu mwenyezi Mungu atamtumia mtu kuitimiliza.
 
Back
Top Bottom