Yombo vituka
Member
- Oct 25, 2017
- 70
- 31
Usikubali kuamini kuna kitu kitatokea. Hizo ni imani tu. Mara nyingi jicho linapocheza inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wako. Kwa mfano mimi nanyemelewa na homa kama malaria, au flue au ninapokuwa na uchovu wa kupitiliza hii hutokea. Kuna mdau mmoja King Kong III amekujibu vizuri sana.Mimi mara nyingi nyama ya juu ya jicho la kulia hucheza nini maana yake? Mshana naomba unijuze.
Siku ukichezwa na makalio naomba uniambie.
DDDDDDDDDDDDDDDDDDDDDDDDDSiku ukichezwa na makalio naomba uniambie.
Ishara ya Jambo zuri mkuu usijali ila likicheza la kulia dalili ya majanga
Normal muscle twitching. Hakuna uhusiano wowote na jambo baya ni imani tu.Nawasalimu wanaJF
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Mimi leo kuanzia asubuhi nimeamka jicho langu moja la upande wa kushoto kwenye kope kwa juu lina vibrate... (linacheza cheza)
Mwenyewe kujua tatizo hili linasababishwa na Nini?
Je kiafya likoje?
Tafadhali wajuzi wamambo wanijuze maana linanikera sana.
Natanguliza shukrani.. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Karibuni!!!..
Dokta na wewe umeacha taaluma yako umeanza ku google kweli?Normal muscle twitching. Hakuna uhusiano wowote na jambo baya ni imani tuu
Hapana si kila kitu ni ushirikina. Vingine ni vya kawaida tuDokta na wewe umeacha taaluma yako umeanza ku google kweli?
Normal muscle twitching.. Hakuna uhusiano wowote na jambo baya ni imani tuu