Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Aisee pia linanicheza jicho la kulia upande wa chini week yote hii, sijui nini
 
Mbona kujamba hamulizi tatizo?

Au kuna mijambo mingine haitoi harufu na mingine inatoa harufu?

Hiyo jicho kucheza ni hali ya kawaida tu kama hali zingine na wala hakuna mambo ya kwamba sijui mara utaona kitu fulan au fulani

Hizo bali ni kawaida
 
Kitu gani kinapelekea kucheza kwa macho asa upande wa chini. Mm nimemaliza mwezi jicho la kushoto lina chenza upande wa chini na kichwa kinakuwa kizito.wakuu naombeni msaada wenu
 
Kitu gani kinapelekea kucheza kwa macho asa upande wa chini. Mm nimemaliza mwezi jicho la kushoto lina chenza upande wa chini na kichwa kinakuwa kizito.wakuu naombeni msaada wenu
Je linacheza linapokutana na Mwanga au?

Kama mwanga hausababishi jicho kucheza au kutoa machozi na jicho linacheza involuntary for few minutes tena linaacha tena linakaa kidogo aftersometime linacheza tena hiyo condition inaitwa blepharospasm/ myokymia. sababu inaeza ikawa ni kama una stress, unatumia caffein, madhara ya medication, kutopata muda mzuri wa kupumzika, na matumizi makubwa ya computer kwa mda mrefu( staring at pc screeen) . Sasa mkuu vuta subira kidogo hali hii inaweza badilika after few months hasa kama ukipunguza visababishi na pia upate muda mzuri wa kulala vizuri na kupumzika. Pia kama ni mtumiaji wa pc sana embu punguza n.k.

Hii hali huwaga inapotea yenyewe baada ya muda flani. Japo kama ikizidi mno kwa muda mrefu na muone daktari specialist wa macho!
 
Mimi mara nyingi nyama ya juu ya jicho la kulia hucheza nini maana yake? Mshana naomba unijuze.
 
Unacho kisema hata Mimi huwa kinanitokea, ila kwangu Mimi kikitokea lazima nisikie taarifa ya msiba.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom