Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Aise mi karibia kila siku linacheza, tusubiri wataalam mkuu.
 
Kwa kawaida jicho la kushoto likicheza utaona kitu kibaya au jambo litakalokuchukiza au jambo lolote la kuudhi litakalokuhusu moja kwa moja!
 
Mkuu, mm jicho la kulia ndio lina-twitch hadi imekuwa Kero. Tena ni muda mrefu sana. Kimila nashindwa hata kukuelezea tafsiri yake kwa mujibu wa babu Yangu. Ngoja tuendelee tu kuvumilia mradi macho hayaumi basi
 
Jicho kucheza ni ishara ya tukio fulani, linaweza kuwa zuri au baya.
 
Jicho linanicheza mara kwa mara na hakuna cha maana kilichowahi kutokea
 
Jamani Kwa anae jua maana ya kucheza kwa sehemu ya juu ya jicho (eye lid)....siku ya leo jicho lang la kushoto lina cheza nini maana yake especially in astrology
Iyo inaashiria kuna balaa litakupata iwe msiba au jela
 
Itakuwa hapo karibu kuna music mkuu sasa jicho lako limeuelewa huo mziki ndo maana likaingia kazini
 
ili kujua maana ya jicho ,mdomo kucheza au kujikwaa, lazima mtu ajue yu wa ngapi kuzaliwa na mamaye. kwa wazaliwa wa kwanza na wa mwisho dalili zote nzuri zinatokana na kucheza kwa mdomo, jicho , au kujikwaa mguu upande wa kushoto. Kwa kuona mabaya, kupata mabaya au hata kilio, wazaliwa hawa upande wa kulia ndio hutumika.

Kinyume chake ni wazaliwa walio bakia. ( Sasa kama ikitokea kinyume na nilivyosema na wewe ni wa kwanza au mwisho. ujue kuwa MAMA yako amekudanganya. Ndio watoa mimba hao) BYE.
 
Back
Top Bottom