Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Jicho kucheza inaonesha wewe "UNAMACHALE" ni swala la Kijasusi zaidi.
Ukitaka iwe poa zaidi funga kitambaa kuzunguuka kichwa chako (LUMUNDI) then utanipa MAJIBU....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji60][emoji60]
 
Jicho kucheza inaonesha wewe "UNAMACHALE" ni swala la Kijasusi zaidi...
Ukitaka iwe poa zaidi funga kitambaa kuzunguuka kichwa chako (LUMUNDI) then utanipa MAJIBU....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji60][emoji60]
Mimi likicheza kuna jambo baya liko mbele yangu mara nyingi lazima litokee
 
Mi binafsi naweza jua baadhi ya mambo yajayo kwa kutumia viganja vya mikono yangu.
 
Jicho kucheza inaonesha wewe "UNAMACHALE" ni swala la Kijasusi zaidi...
Ukitaka iwe poa zaidi funga kitambaa kuzunguuka kichwa chako (LUMUNDI) then utanipa MAJIBU.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji60][emoji60]
Inawezekana,maana nimeuliza wazee wakasema ikicheza nyama ya juu ya jicho ni jambo jema la kufurahisha linakuja,ila nyama ya chini ya jicho ni ishara ya jambo baya na pengine litahusisha machozi kabisa.
 
Habar zenu wanaJF

Nahitaji msaada kidogo, huwa inatoke nimekaa nimetulia ghafla unakuta mwili unashake wenyewe au wakati mwengine jicho hucheza kwa maana ya kama lilinafumba na kufumbua wenyewe, naomba mniambie ni nini husababisha kutokea hivyo?
 
Muscle twitch, sijui kama ni ugonjwa ila mara nyingi ukiwa na mashaka ya jambo fulani au stress kwa muda mrefu hiyo hali hutokea.
 
Mm unitokea mara nyingi mwili ku-shake yaani kama unasisimka hivi.

Sijui ni nini ila niliwahi kusikia kuwa Damu au kilo huwa zinaongezeka mwilini ndio maana mwili unasisimka.
 
Mimi ni wiki ya pili sasa jicho langu la kushoto chini linanicheza.

Ushauri wenu jamani?
Pamoja na maelezo uliyopewa uliopewa katika lugha ya Kiingereza hapo chini kuhusu sababu za jicho kucheza, unatakiwa kuchukua tahadhari kuwa hiyo ni dalili ya presha ya macho, kwa hiyo chukua tahadhari kwa kuwahi hospitali.
 
Jamani kwa anayejua maana ya kucheza kwa sehemu ya juu ya jicho (eye lid) siku ya leo jicho langu la kushoto lina cheza nini maana yake especially in astrology.
 
Back
Top Bottom