Bnafsi jicho la kushoto likichezaga basi
direct huwa kuna tatzo ambalo tayar limetokea muda mfupi tu ulopita, au ndiyo linatokea, au ndo linaenda kutokea baadae. Jicho la kulia likicheza tu basi full amani hapo coz kuna jambo zuri limenitokea pasipo kufahamu thus soon ntafaham, au jambo zuri linatokea kwangu ivo nalishuhudia rasmi. Au, jambo zuri litatokea kwangu ni ntalishuhudia kabisa!
USHUHUDA: Huwa ikifikaga kipind cha
salary mfano, jicho la kulia uwa linacheza kwa fujo sana! Na kweli najikuta nashuhudia
salary kuingia, au kama kitu kngine kizuri kimetokea au kinaenda ktokea thus lazma ntakishuhudia tu coz ya jicho la kulia kucheza mno n kwa fujo.
Ila la kushoto likicheza tu bs apo lazma kutokee kitu ambacho si kizur either hatar ivi. Mfano, msiba, kukosea kitu kazini, kugombana n mamsap kdg n.k.
NB: My left eye huwa ni kama kengele ya kunistua kwamb kulingana n muda husika, mahali husika, kuna jambo baya litatokea, linatokea au limetokea thus niwe makini, au nisiende mahali flan kuna tatizo n.k. Kiukweli uwa napata msaada sana kupitia hii kitu. Mpaka huwa najihisi kama MUNGU yupo karibu nami zaidi yani. Though problems kama vile ajali na vingine vya ughafla wa hali ya juu haviepukiki, lakini bado left eye litani-alert kabla. Isue itakua ni how ujiokoe coz bdo utakua huna uhakika n kinachoenda ktokea but tayar unakua unajua kwmb kuna tatizo linaenda ktokea kwako au tayari limetokea kwngine so umenusurika.
Hii hali nlianza kuishuhudia tokea mwaka 2013 January, kuna classmate wangu wa kike kipnd tupo masomon chuon ndo aliniambiaga io kitu n tokea kpnd iko nkaaminig n ndo mpk kesho yan naaminig tu n truly ndvo ilivo yani.
Sent using
Jamii Forums mobile app