Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Hata hanipi, nilimtoa baru kwa kunisumbua kila siku na mkwe mpya, nimemwambia hadi afanye maamuzi ndio akuje, ila aangalie isiwe too late.

ahsante kwa taarifa mama
kumbe kuna wengine?
Kosa langu nini hasa?
sina kitambi, sichepuki
nimehuzunika.
 
dyudyu ndo kitu cha kwanza mpe dozi ya maana upendo ufuate
 
We weka pesa ..yani pesa tu..nasema pesa......pesa mpango mzima.
 
Back
Top Bottom