Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Sheria kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unamaanisha tukiwaepuka hao tutakuwa tumekomesha uwizi huo??Ni kuwa makini sana na hao watu wanaohubiri sijui uzalendo mara uchapakazi na misifa isiyo na maana huku nyuma ya pazia ndio wanaiba
Tutafute sababu ya Rushwa kwanza kwa kwanini Watu waombwe RushwaMkuu, hujatoa maoni yako juu ya hili!!
Umetirika vizuri Ila huku mwishoni haujaeleweka boss!!Tatizo kubwa ambalo kimsingi ndio kosa lenyewe, kosa kubwa, ni kuacha kushughulikia tatizo na kushughulikia matokeo.
Watu au jamii haishughulikii chanzo cha tatizo inashughulikia matokeo. Huwezi kumaliza au kutatua tatizo kwa njia hii.
Ili kumaliza au kutatua matatizo uwe ni Serikali lazima ifahamu ni nini kinasababisha watu waibe au watumie vibaya rasilimali zao na za umma?
Jibu la swali hili ni, "mambo waliomo".
Angalia maisha yao. Tungekuwa tunafanya uchunguzi hatungeshangazwa na hayo yanayotokea kwasababu kwa mambo waliomo lazima hayo yatokee.
Sio kuhusu mishahara kuwa ni midogo bali mambo waliomo mshahara na marupurupu hauwezi kukidhi.
Mifumo yetu ya maisha na ndoa ni hatari sana kuliko hata hatari yenyewe. Hili ndilo kosa kubwa na sababu ya hayo yanayotokea.
Ndio kabisa hao ndio wanachota mali huku wakijidai tuwe wazalendo na mambo ni safi yaniMkuu, unamaanisha tukiwaepuka hao tutakuwa tumekomesha uwizi huo??
Hapo kwenye kujua chanzo. Umegonga penyewe kabisa. Kuna haja ya wenye mamlaka kuliangalia hili kwa jicho la tatu. Na liwe suala endelevu kwa sababu mazingira yanabadilika.Tatizo kubwa ambalo kimsingi ndio kosa lenyewe, kosa kubwa, ni kuacha kushughulikia tatizo na kushughulikia matokeo.
Watu au jamii haishughulikii chanzo cha tatizo inashughulikia matokeo. Huwezi kumaliza au kutatua tatizo kwa njia hii.
Ili kumaliza au kutatua matatizo uwe ni Serikali lazima ifahamu ni nini kinasababisha watu waibe au watumie vibaya rasilimali zao na za umma?
Jibu la swali hili ni, "mambo waliomo".
Angalia maisha yao. Tungekuwa tunafanya uchunguzi hatungeshangazwa na hayo yanayotokea kwasababu kwa mambo waliomo lazima hayo yatokee.
Sio kuhusu mishahara kuwa ni midogo bali mambo waliomo mshahara na marupurupu hauwezi kukidhi.
Mifumo yetu ya maisha na ndoa ni hatari sana kuliko hata hatari yenyewe. Hili ndilo kosa kubwa na sababu ya hayo yanayotokea.
sijuiToa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha Hali hiyo
Kwa hiyo twendelee kupigwa tusijui
Aisee!!Tusubiri mpka Masihi akirudi ufujaji wa mali hiyo ni unkwepable inshuu!!🚶🚶
Mkuu, Kwa maoni yako tu, inaonyesha wewe ni mfanya biashara, Je, wafanyakazi wako pia huwa wanakuchapa??Tutafute sababu ya Rushwa kwanza kwa kwanini Watu waombwe Rushwa
Mfano Uganda wana Kodi ndogo inayolipika ambayo ni rahisi kuielewa haihitaji elimu ya Shahada
Waganda ni Walipakodi wazuri tu
Sisi hapa Kodi ni kubwa na hazieleweki ni Trap ndio maana watu wanazikwepa na kutoa Rushwa huo ni mfano kwenye Sekta binafsi
Sina Wafanyakazi Mimi ndio nakaba mpaka penatiMkuu, Kwa maoni yako tu, inaonyesha wewe ni mfanya biashara, Je, wafanyakazi wako pia huwa wanakuchapa??
Kama ni kweli, shida ni nini??
Mishahara kidogo au ni malezi ya familia zetu
Bahati mbaya kabisa hao wabunge pia ni Wala rushwaNafasi za wakurugenzi wa mashirika zipatikane kupitia mchujo wa kamati za bunge kupitia michakato ya wazi wa mchujo na uajiri.