- Thread starter
- #81
Huu kweli muujizaKuna MTU mmoja aliwahi kusema kama kuna wanaume wenye miujiza basi ni wabongo MTU ana familia mke na watoto watatu plus mchepuko na jioni anakaa viti virefu bar,michango ya harusi watoto English medium.mshahara lk 3 au 4 huo sio muujiza ni nn? Wataacha kuiba kwa hali hiyo?au nasema uongo Ndugu zangu?