Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Pole mkuu, naona uliathirika vibaya Sana aisee
Mkuu niliathirika sana na nini, tuchukulie niliathirika sana ili matamanio yako yafikie hoja yako, ulitakaje labda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu, naona uliathirika vibaya Sana aisee
Mahitajo ya mwanadamu hayajawai kufika ukomo...!! Kama ao mafisadi au wakwapuaji ata uwape mshahara wa milion 3 kwa mwezi na marupurupu kibao kama mwizi ataendelea kuiba tu ila shida ya watanzania hatuwapendi watu wanyoofu sie tunawaita wanoko...!!
To achieve transparency, an organisation must provide information about its activities and governance to stakeholders that is accurate, complete and made available in a timely way.Transparency enablesaccountability. This does not mean all information should be made publicly available.Toa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
Great, in matters of theft, the media is also bribed!!To achieve transparency, an organisation must provide information about its activities and governance to stakeholders that is accurate, complete and made available in a timely way.Transparency enablesaccountability. This does not mean all information should be made publicly available.
Kama kuna issues on wages basi pay analysis lazima ifanyikeGreat, in matters of theft, the media is also bribed!!
how about the issue of equity in wages.
Je, inaweza kusaidia japo kidogo
Chanzo cha hayo na mengine mengi ya kusikitisha ni mfumo wa maisha na ndoa tuliomo.Unamaanisha kwamba mfumo mbovu wa uwizi tunatoka NAO kwenye familia zetu siyo!?
Mkuu, nakubaliana na wewe mkuu, uwizi na ufisadi unaanzia kwenye familia zetu huku!!Chanzo cha hayo na mengine mengi ya kusikitisha ni mfumo wa maisha na ndoa tuliomo.
Kama jamii mfumo wetu maisha na ndoa ni mbaya na ovu. Katika mfumo huu hakuna chochote kinachoitwa maendeleo au maisha bora kitawezekana.
Tamaduni za jamii zetu zinakumbatia mambo ovu ambayo kimsingi ni kosa dhidi ya akili.
Katika hali ambayo mifumo ya maisha na ndoa, tamadunia na taratibu za kila siku za jamii ni kosa dhidi ya akili, kwa namna gani utegemee uadilifu?
Fikiria jambo hili ambalo katika jamii zetu linaonekana jambo la kawaida, lakini kwenye akili ni jambo zito. Ni wanaume wangapi wamewapatia mimba wasichana au wanawake kinyume na utaratibu unaotakiwa na akili?
Wanawake wanagapi wamepatiwa mimba na wanaume wakawatelekeza?
Wanaume na wanawake wangapi wana watoto kinyume na utaratibu wa ndoa unaotakiwa; achilia mbali mahusiano nje na kabla ya ndoa?
Kwenye tamaduni zetu mambo hayo yanasifiwa. Lakini je, madhara yake kiakili na kimwili tunayajua?
Mkuu, hao wanaokwapua mabilioni ndio hao wanaoongoza Kwa kulipwa mishahara minono na marupurupu na usafiri wa bule?!!Hakuna muujiza hapo ni kuwaongezea tu mishahara na kuboresha maslahi, hivi mtu hajaongezewa hata mia kwa miaka 6 iliyopita unategemea nini, wafanyakazi wamedharauliwa sana kipindi hiki
Mi naongelea kwa ujumla wao wafanyakazi nchi hii choka mbaya hao wenye uwezo wa kukwapua mabilioni ni wangapi? na mabilioni yenyewe yako wapi ndugu, mwalimu anahangaika hata kuuza vitumbua jinsi maisha yalivyompiga angalia askari wanahali mbaya wakubwa wao wachache ndio wako vizuri cha ajabu hata wakisfaafu hawapewi chao , unakumbuka walivyolalamikaMkuu, hao wanaokwapua mabilioni ndio hao wanaoongoza Kwa kulipwa mishahara minono na marupurupu na usafiri wa bule?!!
Suala la upigaji hilo tuliache tu prngine ata mimi ningewekwa hiyo nafasi ningepiga pesa 🚶🚶🚶Aisee!!
Sasa Kwa nini tunalaumu nafasi ya Uraisi Wakati sababu ya uwizi ni Sisi huku Chini mkuu
Doh!!Suala la upigaji hilo tuliache tu prngine ata mimi ningewekwa hiyo nafasi ningepiga pesa 🚶🚶🚶
CCM ifutwe.Toa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
Ukweli mtupu 100%.Tatizo wafanyakazi wameshagundua wanasiasa wanafaidi zaidi keki ya Taifa. Hivyo wanapo pata nafasi na wenyewe wanajimegea.
Haiwezekani Mbunge anayejua tu kusoma na kuandika, anakaa miaka mitano tu Bungeni! lakini mafao yako ni zaidi milioni 200! Halafu mfanyakazi anayefanya kazi miaka 30-40, analipwa mafao ya milioni 60!
Unataka kusema, wote wanaoiba ni wapiga kura wazuri wa CCM pekeeCCM ifutwe.
Ngoja nikupe mfano mdogo.Assume wewe ni monitor au monitress darasani alafu nwalimu akaja na biscuit akakupa akasema gawianeni ninyi kwa ninyi 😁😁nakuhakikishia asilimia 95% utaanza kuchukua zako mapema afu utaanza kugawa sasa ata ikitokea mtu kakosa mnamcheka alikua mzembe kuja kufuata😆😆Doh!!
Kwani ufipa hakuna kasha za upigaji pale?Unataka kusema, wote wanaoiba ni wapiga kura wazuri wa CCM pekee
Na kama ni hivyo, inamaana Vyama vingine havina watu walioko serikarini wameajiliwa