Huu kweli muujizaKuna MTU mmoja aliwahi kusema kama kuna wanaume wenye miujiza basi ni wabongo MTU ana familia mke na watoto watatu plus mchepuko na jioni anakaa viti virefu bar,michango ya harusi watoto English medium.mshahara lk 3 au 4 huo sio muujiza ni nn? Wataacha kuiba kwa hali hiyo?au nasema uongo Ndugu zangu?
Pawepo na Sheria ngumu dhidi ya MwiziToa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
Hakuna cha kufanya wacha yaende hivohivoToa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
Mkuu, kama Taifa, tunaona kabisa juhudi za watu kutaka kulikwamua Taifa letu, lakini kuna Baadhi ya Watanzania vilevile wanaoturudisha nyuma Kwa uwizi
Tatizo wafanyakazi wameshagundua wanasiasa wanafaidi zaidi keki ya Taifa. Hivyo wanapo pata nafasi na wenyewe wanajimegea.
Haiwezekani Mbunge anayejua tu kusoma na kuandika, anakaa miaka mitano tu Bungeni! lakini mafao yako ni zaidi milioni 200! Halafu mfanyakazi anayefanya kazi miaka 30-40, analipwa mafao ya milioni 60!
Nimekuelewa chief!!Hakuna la maana kama utawala wa Sheria kuchukua Mkondo wake
Ni Kama nilivyosema mwanzo
Sheria ngumu na adhabu,ni moja ya kuendea mafanikio.
Tubadili mfumo wa Sheria zilizopo.na tuangalie Sheria faidishi kwa Wote
Toa maoni yako hapa,
Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali?
Je, mishahara ni kidogo?
Marupurupu yaongezwe?
Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?