Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.

Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu?

Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama na ndege nawaombeni mnipe ufahamu.

Ndege tajwa hapo juu kwa akili yangu naona ni kundi moja kabisa na uzuri wanafugika wote.

Simaanishi kuku pekee hata jogoo la kanga likimpanda Tausi jike kipi kitatokea?.

Iwapo uzi huu utaona ni wakishamba ni busara ukapita kimya kimya.

NB: Hatujasoma wote wakuu wengine elimu zetu ni hapa na pale.

Ahsante sana.
 
Hizo ni species tofauti kabisa , japo wapo kundi moja.

Mpangilio wa chromosomes, zao zipo tofauti mno hivyo haiwezekani ku pair .

Tofauti na farasi na punda =nyumbu( mule), chromosome zao zina pair na kufanana kwa kiasi kikubwa,
 
Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.

Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu?

Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama na ndege nawaombeni mnipe ufahamu.

Ndege tajwa hapo juu kwa akili yangu naona ni kundi moja kabisa na uzuri wanafugika wote.

Simaanishi kuku pekee hata jogoo la kanga likimpanda Tausi jike kipi kitatokea?.

Iwapo uzi huu utaona ni wakishamba ni busara ukapita kimya kimya.

NB: Hatujasoma wote wakuu wengine elimu zetu ni hapa na pale.

Ahsante sana.
Kwani wewe ukiimpanda sokwe mtu itakuwaje? Bila shaka jibu ni kuwa hamtaweza kuzaana.
 
Mbegu za jogoo zikifanya fusion na yai la kanga jike kitakachotokea (hybrid embryo) haitaweza kudevelope into a creature kitakufa mapema! Usiulize kwa nini, hiyo ni moja ya sifa ya hybrid embryos! Hybridization inakubali kwa wanyama kama kanga wa kufuga na kanga pori, pia pia farasi na punda!
Kwenye hao wanyama niliowataja hybridization ikikubali kitakachopatikana (hybrid creature) hawezi kuzaa so ili upate hybrid creature mwingine unatakiwa ufanye hybridization tena! Usiulize kwa nini hiyo ni sifa ya hybrid creature kuwa hazai!
 
Hizo ni species tofauti kabisa , japo wapo kundi moja.

Mpangilio wa chromosomes, zao zipo tofauti mno hivyo haiwezekani ku pair .

Tofauti na farasi na punda =nyumbu chromosome zao zina pair na kufanana kwa kiasi kikubwa.
umenikumbusha zamani nikisoma Elimu ya viumbe;
Kanga ana diploid chromosome number of 2n=76 na Kuku ana chromosome 78 hivyo haziwezi kupair
Namaanisha Kanga + Kuku hawawezi kuzaa/kurutubisha yai)
 
Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.

Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu?

Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama na ndege nawaombeni mnipe ufahamu.

Ndege tajwa hapo juu kwa akili yangu naona ni kundi moja kabisa na uzuri wanafugika wote.

Simaanishi kuku pekee hata jogoo la kanga likimpanda Tausi jike kipi kitatokea?.

Iwapo uzi huu utaona ni wakishamba ni busara ukapita kimya kimya.

NB: Hatujasoma wote wakuu wengine elimu zetu ni hapa na pale.

Ahsante sana.
Binadamu na ng'ombe ni jamii moja isipokua dume la ng'ombe haliwezi kumpa binadamu wa kike mimba
 
Back
Top Bottom