Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

Kama jenetiki zinaingiliana na kusomana hao ndege wanaweza kuzalishana tu, uchotara utakuwepo. Ila kama kromsomsi hazitambuani hakuna kiumbe kipya kitatokea hapo. Niliwahi kuona dume la kondoo likitongoza jike la mbuzi limpande, sikuona likikubaliwa kupanda na kuingiza dushe mbunyeni
 
Ni genye tuu, kondoo na mbuzi hawapandani. 😀
 
Kama jenetiki zinaingiliana na kusomana hao ndege wanaweza kuzalishana tu, uchotara utakuwepo. Ila kama kromsomsi hazitambuani hakuna kiumbe kipya kitatokea hapo. Niliwahi kuona dume la kondoo likitongoza jike la mbuzi limpande, sikuona likikubaliwa kupanda na kuingiza dushe mbunyeni
Huwa inatokea mkuu hadi mbunye inazama but sijawahi Ona matokeo
 
Huwa naona tik tok mchina akichanganya matunda/miti ya matunda na kuipanda ardhini. Mara mche unaota, mpapai unatoa matango, mgomba unatoa machungwa, mtikiti unatoa epo, mara mti mmoja una aina mbili za matunda tofauti. Sijajua kama ni kweli unaweza kuchanganya mimea na ukapata matunda unayoyataka. Sasa hapa kuku, bata na kanga wakitiana sijui kama urutubishaji wa mayayi yao unaweza kutokea kwa spishi zisizofanana kiumbo
 
Chromosomes za wanyama zipo complex mno kufanyiwa genetic engineering
 
Huwa naona tik tok mchina akichanganya matunda/miti ya matunda na kuipanda ardhini. Mara mche unaota, mpapai unatoa matango, mgomba unatoa machungwa, mtikiti unatoa epo, mara mti mmoja una aina mbili za matunda tofauti. Sijajua kama ni kweli unaweza kuchanganya mimea na ukapata matunda unayoyataka. Sasa hapa kuku, bata na kanga wakitiana sijui kama urutubishaji wa mayayi yao unaweza kutokea kwa spishi zisizofanana kiumbo
Hapa ndo wataalam wanahitajika. Walau kwa sasa nina mwanga!
 
Huwa nawaza sana kuhusu wanyamapori kama nyumbu na nyati wakipigana miti na ng'ombe au pundamilia, farasi na punda hawa wanafanana namna ya kupigana miti na wajihi wao. Yaani umchukue pundamlia akampande punda ili kipatikane kiumbe mfanano/chotara. Sijui kama watu wa TAWIRI/TAWA kama watakubali wanyama wao wa pori wakapigane miti na wanyama wa kufugwa/domestic animals ili wapatikane wanyama wa kufugwa wenye asili ya pori na wanyamapori wenye asili ya kufugwa. Mbweha, mbwa mwitu kwa mbwa:, wanyama jamii ya paka, paka shume kwa paka wa nyumbani, fisi kwa mbwa, mbweha kwa mbwa, swala kwa mbuzi. Sijui wataalamu wa wanyama wanasema nini kuhusu mwingiliano huu wa uzazi
 
Mawazo yako kama yangu kabisa.

Nadhani jamii fln ya mbwa wametokana na Fox mbwa pori kama sijakosea!
 
Huwa nawaza sana kuhusu wanyamapori kama nyumbu na nyati wakipigana miti na ng'ombe au pundamilia, farasi na punda hawa wanafanana namna ya kupigana miti na wajihi wao. Yaani umchukue pundamlia akampande punda ili kipatikane kiumbe mfanano/chotara. Sijui kama watu wa TAWIRI/TAWA kama watakubali wanyama wao wa pori wakapigane miti na wanyama wa kufugwa/domestic animals ili wapatikane wanyama wa kufugwa wenye asili ya pori na wanyamapori wenye asili ya kufugwa. Mbweha, mbwa mwitu kwa mbwa:, wanyama jamii ya paka, paka shume kwa paka wa nyumbani, fisi kwa mbwa, mbweha kwa mbwa, swala kwa mbuzi. Sijui wataalamu wa wanyama wanasema nini kuhusu mwingiliano huu wa uzazi
Punda + farasi = mule
Screenshot_2026-04-09_174914.jpg
 
Back
Top Bottom