Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.

Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu?

Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama na ndege nawaombeni mnipe ufahamu.

Ndege tajwa hapo juu kwa akili yangu naona ni kundi moja kabisa na uzuri wanafugika wote.

Simaanishi kuku pekee hata jogoo la kanga likimpanda Tausi jike kipi kitatokea?.


Iwapo uzi huu utaona ni wakishamba ni busara ukapita kimya kimya.

NB: Hatujasoma wote wakuu wengine elimu zetu ni hapa na pale.

Ahsante sana.
Yani wapandane hivi hivi bila kuweka ngazi, afu na mahindi atapanda nani?? afu nyama zao zinatoka kilo ngapi
 
Hizo ni species tofauti kabisa , japo wapo kundi moja.

Mpangilio wa chromosomes, zao zipo tofauti mno hivyo haiwezekani ku pair .

Tofauti na farasi na punda =nyumbu( mule), chromosome zao zina pair na kufanana kwa kiasi kikubwa,
Mkuu binafsi ni shuhuda wa wa hili
Nafuga kuku na kanga na walikuwa wanaishi pamoja niligundua kuwa wanapandana baada ya kutotolesha mayai kadhaa wakatoka kuku hawaeleweki kama ni kuku au kanga maana miguu ya kuku kichwa cha kanga manyoya kama ya kuku shingo ndefu kama kanga
Alafu hata mlio wake hauleweki walikuwa watatu nikawaacha wakue mwishowe nilimuuzia jamaa akale mbogaaana hata kuwala sikutamani
Niligundua kuwa majogoo ya kuku yalikuwa yawapanda kanga ila sina hakika kama jogoo la kuku linaweza kumpa da kanga
 
Aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana kwenye taifa letu just imagine #nothing personal am out
 
Mkuu binafsi ni shuhuda wa wa hili
Nafuga kuku na kanga na walikuwa wanaishi pamoja niligundua kuwa wanapandana baada ya kutotolesha mayai kadhaa wakatoka kuku hawaeleweki kama ni kuku au kanga maana miguu ya kuku kichwa cha kanga manyoya kama ya kuku shingo ndefu kama kanga
Alafu hata mlio wake hauleweki walikuwa watatu nikawaacha wakue mwishowe nilimuuzia jamaa akale mbogaaana hata kuwala sikutamani
Niligundua kuwa majogoo ya kuku yalikuwa yawapanda kanga ila sina hakika kama jogoo la kuku linaweza kumpa da kanga
Safi sana bwashee
 
Huu uzi ndo kipimo chakua watanzania wengi shule tunaenda kutembea na kujua kusoma na kuandika au walimu ndo tatzo
 
Back
Top Bottom