Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwamba haina tofauti na kukwea mnaziHizo ni species tofauti kabia , japo wapo kundi moja
Mpangilio wa chromosome zao zipo tofauti mno hivyo ni haiwezekani ku pair .
Kwani wewe ukiimpanda sokwe mtu itakuwaje? Bila shaka jibu ni kuwa hamtaweza kuzaana.Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.
Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu?
Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama na ndege nawaombeni mnipe ufahamu.
Ndege tajwa hapo juu kwa akili yangu naona ni kundi moja kabisa na uzuri wanafugika wote.
Simaanishi kuku pekee hata jogoo la kanga likimpanda Tausi jike kipi kitatokea?.
Iwapo uzi huu utaona ni wakishamba ni busara ukapita kimya kimya.
NB: Hatujasoma wote wakuu wengine elimu zetu ni hapa na pale.
Ahsante sana.
SijaelewaKwamba haina tofauti na kukwea mnazi
Bao la mkono kwa jogooSijaelewa
umenikumbusha zamani nikisoma Elimu ya viumbe;Hizo ni species tofauti kabisa , japo wapo kundi moja.
Mpangilio wa chromosomes, zao zipo tofauti mno hivyo haiwezekani ku pair .
Tofauti na farasi na punda =nyumbu chromosome zao zina pair na kufanana kwa kiasi kikubwa.
78 kwa 16umenikumbusha zamani nikisoma Elimu ya viumbe;
Kanga ana diploid chromosome number of 2n=76 na Kuku ana chromosome 78 hivyo haziwezi kupair
Namaanisha Kanga + Kuku hawawezi kuzaa/kurutubisha yai)
Nyukria bado mbali sana tutatue kwanza Mashimo ya choo na huduma za maji ya kunywa mkuuUmewaza mbali sana mkuu kwa tanzania tutachelewa sana kua na nyukilia yetu
Mkuu mbona nyati na ng'ombe wanazalishwa ?Hizo ni species tofauti kabisa , japo wapo kundi moja.
Mpangilio wa chromosomes, zao zipo tofauti mno hivyo haiwezekani ku pair .
Tofauti na farasi na punda =nyumbu( mule), chromosome zao zina pair na kufanana kwa kiasi kikubwa,
Binadamu na ng'ombe ni jamii moja isipokua dume la ng'ombe haliwezi kumpa binadamu wa kike mimbaNi mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.