Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hello!

Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki.

Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea?

1. Je ni amani ya kuiba kura bila kupigiwa kelele ya mwiziiii?

2. Je, ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi pawe na amani wizi wa kura ukiendelea? Au kuzuia mfumo wa wizi wa kura?

Karibuni 🙏
 
Wapo manabii na mashehe chawa miaka yote wanauombea lakini mungu wao hawasikilizi lakini wapo tu kwa sababu ya kupokea bahasha.
 
Yaani mtu ameonekana mtandaoni akiita kura fake kwenye sanduku la kura, badala ya kuchukuliwa hatua,

Wanaotwambia tuombee!
 
Hivi sasa wanaotaka maridhiano na vijana walioitwa wahaini bila kutimiza madai yao🤔
 
Hello!

Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki.

Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea?

1. Je ni amani ya kuiba kura bila kupigiwa kelele ya mwiziiii?

2. Je, ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi pawe na amani wizi wa kura ukiendelea? Au kuzuia mfumo wa wizi wa kura?

Karibuni 🙏
Mwam atakwambia tuombe
 
Saizi tunaaswa kudumisha na kuomba amani Ili kupata maendeleo kana kwamba miaka 60 ilopita tulikuwa vitani!
Hahaha 60 imekatika kama upepo hakuna maji hakuna barabara, wamejazana tu kwenye mayard
 
Hello!

Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki.

Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea?

1. Je ni amani ya kuiba kura bila kupigiwa kelele ya mwiziiii?

2. Je, ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi pawe na amani wizi wa kura ukiendelea? Au kuzuia mfumo wa wizi wa kura?

Karibuni 🙏
Maombi na vitendo! Huwezi kulala kitandani na uombee chakula kikufuate hapo
 
Back
Top Bottom