Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

Ni kipindi gani cha runinga na redio kikiruka hewani, inakulazimu kubadili frequency/channel.?

Ritta Chiwalo aisee hayupo nasikia yupo Tumaini Radio.

Siku hizi Beberu yupo na Mariam Kitosi mambo si mabaya.

Mariam ni Kisuuuuuuuuuuu.
Kitosi yupo vizuri ila Rita nilikua napenda kisauti chake kile, yani nilishamgoogle sana nione anafananaje lakini sijafanikiwa
 
Super mix kuna yule demu anaitwa Rita bado yupo?
Mariam Kitosi huyo.... Yaani unasikiliza kipindi huku unapiga punyeto.

Sio unasikiliza redio anatangaza kikongwe yaani kila nikipata muda EA Radio ni ya kwanza na ya mwisho.

Kisuuuu.
Screenshot_20181120-131226.jpeg
Screenshot_20181120-131131.jpeg
 
Alirudi nyumbani Tumaini alikuwa na sauti nzito afu ule muunganiko wao na Beberu ulikuwa mzuri sanaa.
Kitosi yupo vizuri ila Rita nilikua napenda kisauti chake kile, yani nilishamgoogle sana nione anafananaje lakini sijafanikiwa
 
Sipendi chereko, matangazo ya biko & tatu mzuka. Napenda vipindi kama vile malumbano ya hoja, kipima joto, itv habari, na enzi zile za mchakato majimboni
 
Back
Top Bottom