VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa Burundi, Cyprien Ntaryamira.
Kama una swali lolote linalokupa utata kuhusu mauwaji haya, usisite kuuliza. Ntajibu kadri nijuavyo.
Tarehe kama ya leo, ndipo wanajeshi wa nchi ya Ubelgiji waliokuwa Rwanda, waliwakimbia watutsi waliokuwa wamekimbilia katika kambi yao, na kuwaacha mikononi mwa wauwaji.