Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Hayawezi kujirudia, aliye yasababisha yupo madarakani, alichokua anakitafuta kakipata.Mwenyezi MUNGU. Asaidie mauaji haya, ya kutisha yasije kujirudia tena.
Hayawezi kujirudia, aliye yasababisha yupo madarakani, alichokua anakitafuta kakipata.Mwenyezi MUNGU. Asaidie mauaji haya, ya kutisha yasije kujirudia tena.
Ubaguzi upi?Amani ni kuleta umoja, sasa huo ubaguzi mnaofanya utawasaidia vipi kuleta amani?
Mkuu wewe ndio usema ili kutengeneza opposite ya hii inayoitwa genocide against tusi.Kumbe Tutsi were targeted vipi sasa kulikua na watutsi laki 4 pekee hapo Rwanda ila waliokufa ni watu zaidi ya laki 8 hadi million moja, sasa hao laki 6 means ni wahutu!! Sasa cha ajabu inaitwa genocide ya tutsi sio Rwanda.
Hao RPF ni kwamba hawakuua mtu? Yaani tufanye watutsi million 1 waliuwawa basi je hao RPF waliwezaje kushinda vita bila kuua mhutu hata mmoja?
Uzi umejaa propaganda huu hakuna facts.
Kuna mauaji mengine mabaya zaidi yalitendeka huko Zaire mashariki (Sasa Drc) kuanzia mwaka 1996.Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa Burundi, Cyprien Ntaryamira.
Kama una swali lolote linalokupa utata kuhusu mauwaji haya, usisite kuuliza. Ntajibu kadri nijuavyo.
Tarehe kama ya leo, ndipo wanajeshi wa nchi ya Ubelgiji waliokuwa Rwanda, waliwakimbia watutsi waliokuwa wamekimbilia katika kambi yao, na kuwaacha mikononi mwa wauwaji.